Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba

Babavos

Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
93
Reaction score
242
Assalam aleikyum guys

Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba ananitegatega kinoma ni mke wa mwenye nyumba na bwana ake ana hela za kutosha ila ndo hana muda na familia ake ye mitungi kwenda mbele na madem kibaooo

Sasa mkewe anajua mumewe itikadi zake zooote ila yuko kimyaa sasa naona ananizoea kwa kasi miksa kunirembulia kujibebisha bebisha Aaargh sijui hata nifanyeje

Nishaurini guys ila kuhama hapa ndo siwezi maana siwezi pata nyumba nzuri kama hii kwa uku nilipo

Mke wa mtu sumu ila akizidisha nitalinda UANAUME WANGU KWA KUFUTA KUDHARAULIKA BAADAE
 
Finished man.
Wanawake walivyo wengi hivi unawaza mke wa mtu?
Katika vitu vyote hakikisha humfanyi mwanaume mwenzio atoke chozi, bora umtoe chozi mwanamke.
 
Zamani ilikuwa analiwa upesi sana sasa wanaume wa sikuhizi wanakuja kuomba ushauri ujinga kabisaa..
Mle jamaa akileta kujua unamvimbia mzee hawanaga cha kufanya wake zao wakiliwa na watu wasiowaweza huwa wanaonea dagaa tu
 
Nyumba ingine utapata tu, hama, sema naona kama kichwa kidogo kinataka kuponza kichwa kikubwa, utatafunwa mjengo, wanaume wengine wanajifanyaga hawana time ila wanajua kufuatilia sana, sipendi uanze kusapoti kwa kulazimishwa jombaa.
 
Assalam aleikyum guys

Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba ananitegatega kinoma ni mke wa mwenye nyumba na bwana ake ana hela za kutosha ila ndo hana muda na familia ake ye mitungi kwenda mbele na madem kibaooo

Sasa mkewe anajua mumewe itikadi zake zooote ila yuko kimyaa sasa naona ananizoea kwa kasi miksa kunirembulia kujibebisha bebisha Aaargh sijui hata nifanyeje

Nishaurini guys ila kuhama hapa ndo siwezi maana siwezi pata nyumba nzuri kama hii kwa uku nilipo

Mke wa mtu sumu ila akizidisha nitalinda UANAUME WANGU KWA KUFUTA KUDHARAULIKA BAADAE
Kuwa makini bro hizi ni dalili zakupakwa mafuta
 
Back
Top Bottom