Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba

Salaam za nini unatafuta go ahead ya uzinzi
Achana na mke wa mtu ni laana
Kila hatua ni laana na utakosa amani
Hawajui kuficha hisia zao atakupa kikombe na kisosi wakati mmewe atampa bila kisosi
Red flag tayari mme anagundua anakuuwa
Ujinga wa kufa kwa ngono na huku wanawake wamejaa
Tafuta mke ila usionyesha urijali wako hapa kwa mke wa mtu
 
Assalam aleikyum guys

Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba ananitegatega kinoma ni mke wa mwenye nyumba na bwana ake ana hela za kutosha ila ndo hana muda na familia ake ye mitungi kwenda mbele na madem kibaooo

Sasa mkewe anajua mumewe itikadi zake zooote ila yuko kimyaa sasa naona ananizoea kwa kasi miksa kunirembulia kujibebisha bebisha Aaargh sijui hata nifanyeje

Nishaurini guys ila kuhama hapa ndo siwezi maana siwezi pata nyumba nzuri kama hii kwa uku nilipo

Mke wa mtu sumu ila akizidisha nitalinda UANAUME WANGU KWA KUFUTA KUDHARAULIKA BAADAE
Angalia usije ingia MATATIZONI maana mwana kuli find mwana kulipata..

Kua makini mkuu 😅 wakati mwingine MASIKIO YA MWANAMKE YAPO KWENYE MBUSUSU/ PAPUCHI YAKE

Utajiletea matatizo na utakuja kujilaumu baadae maana wahenga husema majuto Ni mjukuu..
 
Assalam aleikyum guys

Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba ananitegatega kinoma ni mke wa mwenye nyumba na bwana ake ana hela za kutosha ila ndo hana muda na familia ake ye mitungi kwenda mbele na madem kibaooo

Sasa mkewe anajua mumewe itikadi zake zooote ila yuko kimyaa sasa naona ananizoea kwa kasi miksa kunirembulia kujibebisha bebisha Aaargh sijui hata nifanyeje

Nishaurini guys ila kuhama hapa ndo siwezi maana siwezi pata nyumba nzuri kama hii kwa uku nilipo

Mke wa mtu sumu ila akizidisha nitalinda UANAUME WANGU KWA KUFUTA KUDHARAULIKA BAADAE
Utakufa kifo cha kujitakia lakini km una hamu ya kufa mapema endelea
 
Pesa ipo.......! 😉
Assalam aleikyum guys

Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba ananitegatega kinoma ni mke wa mwenye nyumba na bwana ake ana hela za kutosha ila ndo hana muda na familia ake ye mitungi kwenda mbele na madem kibaooo

Sasa mkewe anajua mumewe itikadi zake zooote ila yuko kimyaa sasa naona ananizoea kwa kasi miksa kunirembulia kujibebisha bebisha Aaargh sijui hata nifanyeje

Nishaurini guys ila kuhama hapa ndo siwezi maana siwezi pata nyumba nzuri kama hii kwa uku nilipo

Mke wa mtu sumu ila akizidisha nitalinda UANAUME WANGU KWA KUFUTA KUDHARAULIKA BAADAE
 
Kwa hiki ulicho andika hapa hupaswi kujiita mwanaume wewe bado ni mvulana haijalishi una umri wa miaka mingapi, kama ungekua mwanaume usingekuja kuomba ushauri kwa kitu kidogo namna hiyo, Mwanaume ni maamuzi kwa wakati sahihi
 
Back
Top Bottom