Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii paragraph umeandika ili kutaka kuhalalisha upumba wako. Kama jamaa yuko bize na mitungi wewe inakuhusu nini? Au ndo ile ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya kwanza? Au wewe umesomea kugonga wake za watu wanaopenda mitungi? Cha muhimu jua kwenye huo upuuzi unaouwaza matokeo yake ni KIFO, ulemavu wa kudumy au kutatuliwa marindaNipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba ananitegatega kinoma ni mke wa mwenye nyumba na bwana ake ana hela za kutosha ila ndo hana muda na familia ake ye mitungi kwenda mbele na madem kibaooo
Andaa mafuta kabisaAssalam aleikyum guys
Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba ananitegatega kinoma ni mke wa mwenye nyumba na bwana ake ana hela za kutosha ila ndo hana muda na familia ake ye mitungi kwenda mbele na madem kibaooo
Sasa mkewe anajua mumewe itikadi zake zooote ila yuko kimyaa sasa naona ananizoea kwa kasi miksa kunirembulia kujibebisha bebisha Aaargh sijui hata nifanyeje
Nishaurini guys ila kuhama hapa ndo siwezi maana siwezi pata nyumba nzuri kama hii kwa uku nilipo
Mke wa mtu sumu ila akizidisha nitalinda UANAUME WANGU KWA KUFUTA KUDHARAULIKA BAADAE
Emu Anza kwa ku-practice nunua pakti ya sumu ya Panya na kunguni mix pamoja halafu onja kwanza kidogo kabla hujamuonja huyo Mama mwenye nyumbaMke wa mtu sumu ila akizidisha nitalinda
Mafuta ya Rosemary awe anatembea nayo yatamsevu siku akiingia kwenye 18 za kifiroKuwa makini unaweza kusema unataka kuurinda uanaume wako ukashangaa ndo unaenda kuupoteza
Suluhisho pekee ni kuhama hiyo nyumba.Assalam aleikyum guys
Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba ananitegatega kinoma ni mke wa mwenye nyumba na bwana ake ana hela za kutosha ila ndo hana muda na familia ake ye mitungi kwenda mbele na madem kibaooo
Sasa mkewe anajua mumewe itikadi zake zooote ila yuko kimyaa sasa naona ananizoea kwa kasi miksa kunirembulia kujibebisha bebisha Aaargh sijui hata nifanyeje
Nishaurini guys ila kuhama hapa ndo siwezi maana siwezi pata nyumba nzuri kama hii kwa uku nilipo
Mke wa mtu sumu ila akizidisha nitalinda UANAUME WANGU KWA KUFUTA KUDHARAULIKA BAADAE
Sio poa😁Mafuta ya Rosemary awe anatembea nayo yatamsevu siku akiingia kwenye 18 za kifiro
Pole sana mkuuAssalam aleikyum guys
Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba ananitegatega kinoma ni mke wa mwenye nyumba na bwana ake ana hela za kutosha ila ndo hana muda na familia ake ye mitungi kwenda mbele na madem kibaooo
Sasa mkewe anajua mumewe itikadi zake zooote ila yuko kimyaa sasa naona ananizoea kwa kasi miksa kunirembulia kujibebisha bebisha Aaargh sijui hata nifanyeje
Nishaurini guys ila kuhama hapa ndo siwezi maana siwezi pata nyumba nzuri kama hii kwa uku nilipo
Mke wa mtu sumu ila akizidisha nitalinda UANAUME WANGU KWA KUFUTA KUDHARAULIKA BAADAE
Hahaha ndo tabia zako kula wake za watu we dogoMpelekee moto
Amkia mm mtu mzimaHahaha ndo tabia zako kula wake za watu we dogo
Kuwa na heshima kwa wajomba zako dogo mimi nina umri wakukuzaa kabisaAmkia mm mtu mzima