Mimi kwenye huu umri wangu nilishawahi kula wake za watu ila sikushauri ufanye hovyo kwa kuwa inaonekana wewe na huyo mwanamke wote akili zenu ni kama tunda ya ubuyu.
1.swala la kula mke wa mtu ni swala linaweza fanya mtu yeyote miongoni mwenu kati ya hao watatu akapoteza maisha.
2.Ni jambo la fedheha kubwa kwenye maisha.
3.Ni mojawapo ya vitu Mungu hapendi,mtu kutembea na mke wa mtu.
4.ukifumaniwa na mke wa mtu ni ngumu sana mume wake kukusamehe.
5.pindi huyo mume wake akijua au akipata tetesi uhame mji ,hiyo itakulazimu kupoteza kazi au kuharibu mipango yako.
6.usiendelee kumzoea huyo mwanamke ,za mwizi ni arobaini .
7.jaribu kumhurumia huyo mama wa watu akikamatwa najua huwezi kumuoa ikitokea atafumaniwa .
8.kulala na mke wa mtu Kuna leta laana kwenye maisha yako.
9.kama huyo bwana ni tajiri na anakipato ,akikugundua utapotea kimya kimya .
10.Hakunaga Siri kwenye mapenzi.
11.wewe ni mpangaji tuu hapo,hujawekwa uwe hakimu wa ndoa ya mwenye nyumba wako,fanya maisha yako acha kuchumguza mambo ya watu.
12.