Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba

Kama huwezi kuhama chagua moja kula au vumilia
 
Huwezi kuonesha uanaume wako kwa mke wa mtu. Ukitaka kufuta dharau, tafuta mwanamke oa, weka ndani.
Tanguliza ngono mbele, utakuja kukimbia hiyo nyumba pasipo kubeba hata kitu chochote na ukahama mkoa.
 
Hali ni ngumu ila pambana upate hela ya kodi usijidanganye kwamba ukimega mama mwenye nyumba ndo utaishi bure no!
Matatizo ndo Yatazidi na hutokuwa na uhuru hata wa kuleta demu wako hapo!
 
Dhambi ni kula nguruwe ila kutembea na mke wa mtu siyo dhambi.
Salamu nyingi za dini, ili ujulikane kuwa wewe ni mzinzi
 
Mm matukio yakuwala wake za watu ninayo mengi muno, mpaka kuendelea kuwepo dunian ni makusudi yake mola, kuna siku nilikwepa panga[emoji25] , kesho yake nikaamkia kanisan kutubu dhambi, mpaka saiv nishaapa kugusa mke wa mtu hata awe pisi kama malaika siwezi.
 
Nimeipenda hii
 
Mkuu,

Sema kweli, ushaamua ila hapa unatafuta support tu.
 
Hata nyumba nzuri zaidi unayokaa huwezi kupata, halafu unataka kula mke wa mtu anayekuweka kwenye nyumba nzuri? usipokuwa makini utatoka kwa aibu hapo
 
Unafikiri myaishia kukulama Mara moja tu?
Safari moja huanzisha nyingine. Anza kuzoea kutembea na mafuta ya mgando, utakuja kunishukuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…