Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba

Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba ananitegatega kinoma ni mke wa mwenye nyumba na bwana ake ana hela za kutosha ila ndo hana muda na familia ake ye mitungi kwenda mbele na madem kibaooo
Hii paragraph umeandika ili kutaka kuhalalisha upumba wako. Kama jamaa yuko bize na mitungi wewe inakuhusu nini? Au ndo ile ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya kwanza? Au wewe umesomea kugonga wake za watu wanaopenda mitungi? Cha muhimu jua kwenye huo upuuzi unaouwaza matokeo yake ni KIFO, ulemavu wa kudumy au kutatuliwa marinda
 
Andaa mafuta kabisa
 
Kuwa makini unaweza kusema unataka kuurinda uanaume wako ukashangaa ndo unaenda kuupoteza
 
Mke wa mtu sumu ila akizidisha nitalinda
Emu Anza kwa ku-practice nunua pakti ya sumu ya Panya na kunguni mix pamoja halafu onja kwanza kidogo kabla hujamuonja huyo Mama mwenye nyumba
 
Suluhisho pekee ni kuhama hiyo nyumba.
 
Acha kukaa nyumba moja na wenye nyumba,pia acha mazoea na wake za watu. Kuna dogo alikuwa anamla mtoto wa mwenye nyumba,siku alipofumwa Faza hausi akasema sasa dogo toa nguo zote na wewe uliwe.Dogo akaamua kuchoropoka na kupanda ukuta akaanza mbele,kila kitu kwenye chumba chake alikiacha. Hama hiyo nyumba
 
Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…