Nipo kwenye wakati mgumu

Nipo kwenye wakati mgumu

eti tena bila aibu umekazia 'siyo mke ni demu', acha upimbi mzee, we mshikaji siyo mwana wala nini..!!

huna kitu kingine cha maana cha kufanya kwenye maisha yako zaidi ya kutembea na mwanamke wa rafiki yako..??

Siwapendi marafiki mashwetani kama wewe basi tu, mnakuwaga jau na wasaliti kinoma..!!

'mpaka nimepata hasira kama za mabro'..!🙌
 
Wadau mm niko na mshkaji wangu sio msikajii sanaaa jamaa mwenyewe chapombe sanaaa analewa mpaka anazima sasa iko hivi huyoo jamaaa ana demu wake sio mke ni demu kaazaa nae sasa huyoo demu yaaan ananikubali sana anatak nipite na yeye sasa hapa geto kwangu jamaaa huwa anapajuaa na anakuja sana sasa nahofia huyuu demu wake niimuungize hapo mda gani usiku mchana maaan demu kashaaelekea kibla anasema anataka ajee kwangu apajuee maan jamaaa ndio anapajuaa ila demu hapajuii sasa nimlete hapa au niende nae Lodge au niachane nae tuuu
Acha tamaa
 
Usipende kutembea na wake/wanawake wa marafiki zenu, mbona wanawake wamejaa sana mitaani?

Sijui kwanini, ila it's not healthy kulala na mwanamke na unajua kabisa jamaa yake ni rafiki yako.
 
Tafuta demu wako jamaa acha shobo na madem wawatu... Nyapu utakula hutashiba mkubwa, jali utu heshimu mshikaji wako. Sisi walevi sijui Huwa mnatuonaje asee
 
Usipende kutembea na wake/wanawake wa marafiki zenu, mbona wanawake wamejaa sana mitaani?

Sijui kwanini, ila it's not healthy kulala na mwanamke na unajua kabisa jamaa yake ni rafiki yako.
Sawa
 
Kuna haja JF kufanya namna ya kuwachuja watu humu,hadhi irudi ya JF.
 
Wadau mm niko na mshkaji wangu sio msikajii sanaaa jamaa mwenyewe chapombe sanaaa analewa mpaka anazima sasa iko hivi huyoo jamaaa ana demu wake sio mke ni demu kaazaa nae sasa huyoo demu yaaan ananikubali sana anatak nipite na yeye sasa hapa geto kwangu jamaaa huwa anapajuaa na anakuja sana sasa nahofia huyuu demu wake niimuungize hapo mda gani usiku mchana maaan demu kashaaelekea kibla anasema anataka ajee kwangu apajuee maan jamaaa ndio anapajuaa ila demu hapajuii sasa nimlete hapa au niende nae Lodge au niachane nae tuuu
Hakikisha hukosi hayo, Wahuni wasije kupasua nyuma huko.
20250102_092748.jpg
 
Usipende kutembea na wake/wanawake wa marafiki zenu, mbona wanawake wamejaa sana mitaani?

Sijui kwanini, ila it's not healthy kulala na mwanamke na unajua kabisa jamaa yake ni rafiki yako.
Sasa kama wame achana mkuu na hii imekaaje
 
Sina maaan hiyoo
kumbe wakati mgumu uliona nao ni upi? hapo unachotuuliza ukamlie geto au lodge, mwanamke wa jamaa yako kisa ni chapombe, huoni kwamba wewe ni bwege, na jamaa yako ambaye ni chapombe ana maana mpaka anamwanamke, wewe umeshindwaje kutafuta mwanamke wako?
 
eti tena bila aibu umekazia 'siyo mke ni demu', acha upimbi mzee, we mshikaji siyo mwana wala nini..!!

huna kitu kingine cha maana cha kufanya kwenye maisha yako zaidi ya kutembea na mwanamke wa rafiki yako..??

Siwapendi marafiki mashwetani kama wewe basi tu, mnakuwaga jau na wasaliti kinoma..!!

'mpaka nimepata hasira kama za mabro'..!🙌
Pole bibie Carleen naweza kuja kukupoza na hasira za huyo mjinga?
 
Kaaazii kweli kweli......

Sijaipata ishara kwangu ..... Ulipomchukua kwakua sina parara

Nami nikakuachia
 
Ratiba za mshkaji wako si unazo? Hakikisha unazijua kama huzijui
Ukishazijua najua unajua namna ya kumaliza mchezo
Mkuu na wewe unakubali kushirikishwa kwenye ushetani wake?

Kwa namna alivyoandika, tayari ashazini na huyo mwanamke.

Amekuja hapa kutafuta faraja ya kusherekea ushindi, hakuna mtu mzima anayekosa mbinu za kutimiza azima hiyo, mpaka aje kuuliza cha kufanya Jf.

Huyo anastahili kumuogesha matusi ya nguoni ili akili zimkae sawa.
 
Achana na huyo demu wa jamaa,huwezi kujuwa ni biashara iliyopangwa kwa ustadi na wawili hawo. Dont rush into enything.
 
Back
Top Bottom