Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu na wewe unakubali kushirikishwa kwenye ushetani wake?
Kwa namna alivyoandika, tayari ashazini na huyo mwanamke.
Amekuja hapa kutafuta faraja ya kusherekea ushindi, hakuna mtu mzima anayekosa mbinu za kutimiza azima hiyo, mpaka aje kuuliza cha kufanya Jf.
Huyo anastahili kumuogesha matusi ya nguoni ili akili zimkae sawa.
Mbona wanawake wapo Kibao kwanini utembee na mwanamke wa rafiki yako? Je hayo unayomfanyia rafiki yako na wewe upo tiyari kutendewa hivyohivyo?Wadau mm niko na mshkaji wangu sio msikajii sanaaa jamaa mwenyewe chapombe sanaaa analewa mpaka anazima sasa iko hivi huyoo jamaaa ana demu wake sio mke ni demu kaazaa nae sasa huyoo demu yaaan ananikubali sana anatak nipite na yeye sasa hapa geto kwangu jamaaa huwa anapajuaa na anakuja sana sasa nahofia huyuu demu wake niimuungize hapo mda gani usiku mchana maaan demu kashaaelekea kibla anasema anataka ajee kwangu apajuee maan jamaaa ndio anapajuaa ila demu hapajuii sasa nimlete hapa au niende nae Lodge au niachane nae tuuu
Hiyo ni case nyingine mkuu.Sasa kama wame achana mkuu na hii imekaaje
Yani inanisikitisha sana. Naona hadi aibu kusoma na kuelewa akili za mbongo. Kila kona ni mambo ya ngono. Mostly in all platforms. Kizazi ndio basi tena ..
tuna kizazi cha hovyo sana mkuu
Ikifika Ijumaa jioni, hakikisha umeikabidhi simu kwa wazazi/walezi wako, halafu urudi zako shule. Full stop! Hizi mada zenu huwa zinatuchosha sana humu jukwaani. Ni vile tu huwa hamjui.Wadau mm niko na mshkaji wangu sio msikajii sanaaa jamaa mwenyewe chapombe sanaaa analewa mpaka anazima sasa iko hivi huyoo jamaaa ana demu wake sio mke ni demu kaazaa nae sasa huyoo demu yaaan ananikubali sana anatak nipite na yeye sasa hapa geto kwangu jamaaa huwa anapajuaa na anakuja sana sasa nahofia huyuu demu wake niimuungize hapo mda gani usiku mchana maaan demu kashaaelekea kibla anasema anataka ajee kwangu apajuee maan jamaaa ndio anapajuaa ila demu hapajuii sasa nimlete hapa au niende nae Lodge au niachane nae tuuu
Hivi wewe unaujua wakati mgumu kweli?Wadau mm niko na mshkaji wangu sio msikajii sanaaa jamaa mwenyewe chapombe sanaaa analewa mpaka anazima sasa iko hivi huyoo jamaaa ana demu wake sio mke ni demu kaazaa nae sasa huyoo demu yaaan ananikubali sana anatak nipite na yeye sasa hapa geto kwangu jamaaa huwa anapajuaa na anakuja sana sasa nahofia huyuu demu wake niimuungize hapo mda gani usiku mchana maaan demu kashaaelekea kibla anasema anataka ajee kwangu apajuee maan jamaaa ndio anapajuaa ila demu hapajuii sasa nimlete hapa au niende nae Lodge au niachane nae tuuu
Sasa mkuu what if labda wana miez Sita wame achana Ata Huyu nisitafune mkuuTanzania kuna wanawake 31,687,990.
Hata ukiamua kila siku ulale na mwanamke mmoja utakufa ukiwa umelala na wanawake 36,600
Na hapo ni kama ulianza uzinzi tokea unazaliwa na umefanikiwa kuishi miaka 100.
Sasa wanawake wote hao ndio ukagonge mwanamke wa rafiki yako.
Hebu kuwa serious Mwamba.
Kwani wanawake wameisha mpaka uchukue huyo wa rafiki yako?