Nipo kwenye wakati mgumu

Yaan uko tiyari kuvunja urafiki na rafiki yako kisa nyapu ,hakika ww ni mpumbavu wa kiwango cha juu.
 

Mkuu,unadhani nikikataa ndio hatafanya?

Nina uhakika pia alishafanya anachouliza ama amekuja kutafuta attention tu,kuwafanya wadau watokwe povu
 
Mbona wanawake wapo Kibao kwanini utembee na mwanamke wa rafiki yako? Je hayo unayomfanyia rafiki yako na wewe upo tiyari kutendewa hivyohivyo?
 
Achana nae kaka, despite of what ur buddy's behaviour is, u're not deserving to hurt him..
1. bado ni rafiki yako broh..
Qummer zipo kibao kaka, usigombane na mshikaji kwasabb ya kyuma..
2.win ur heart.. tamaa za mwili hazidumu kaka
Usiharibu urafiki wa miaka 12 kwa starehe ya masaa mawili..

3.ukihisi hicho kitu kingekuumiza kam ungekuwa position ya mwana basi acha usifanye..

4.usela kwanza mapenzi badae
Demu kama analeta slope zisizoeleweka weka usela mbele..
Mstue mwanao akiwa mzima, mwambie kila ktu alafu pangeni kumsuprise demu.
Mwite geto as if unataka kumla akijaa mwite mwanao akanyagie awakute wote hapo, kiranga na slope zote za dem zitaishia hapo..

Muumini wa urafiki wa Kweli🖐🖐
 
Ikifika Ijumaa jioni, hakikisha umeikabidhi simu kwa wazazi/walezi wako, halafu urudi zako shule. Full stop! Hizi mada zenu huwa zinatuchosha sana humu jukwaani. Ni vile tu huwa hamjui.
 
Tanzania kuna wanawake 31,687,990.

Hata ukiamua kila siku ulale na mwanamke mmoja utakufa ukiwa umelala na wanawake 36,600

Na hapo ni kama ulianza uzinzi tokea unazaliwa na umefanikiwa kuishi miaka 100.

Sasa wanawake wote hao ndio ukagonge mwanamke wa rafiki yako.

Hebu kuwa serious Mwamba.
 
Hivi wewe unaujua wakati mgumu kweli?
 
Sasa mkuu what if labda wana miez Sita wame achana Ata Huyu nisitafune mkuu
 
Walevi mnagongewa sana, jinga nyie.. mkule tu akija amelewa mwambie umemfananisha
 
Mwanaume unayejitambua mwenye afya ya akili na mwili hauwezi hata kujaribu kuwaza kutembea na mke wa rafiki yako, ila kupanga ni kuchagua utavuna sawasawa na ulichopanga na kuchagua
 
Mimi nachojua utapata mikosi na Mishe zako zitaanza kukukwamia .
 
Naomba kwa utulivu niungane na wale waliosema "huna akili"maana ki uhalisia ni huna akili na pia uko na weak mind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…