John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,207
- 2,593
Hela walizoorodheshwa mtakuwa mkilipwa za kila siku hamkupewa nn[emoji1787]?Hii kazi hii
Baada ya wiki
Nitakuja kuwapa vichekesho kweli bongo .
Bongo ni nyoso [emoji1787][emoji1787]
Kiufupi nina siku mbili toka kazi nianze
Niseme tu hii nchi kuna watumishi wengi wanamyumbisha mama
Ukiachana na masuhuala ya malipo kuna mengi sana [emoji1787] yanafurahishaHela walizoorodheshwa mtakuwa mkilipwa za kila siku hamkupewa nn[emoji1787]?
Sasa si useme?! Badala yake unaishia kucheka cheka tu hapaUkiachana na masuhuala ya malipo kuna mengi sana [emoji1787] yanafurahisha
Kikubwa mpka watendaji mitaa, wenyeviti na wajumbe wanalalamika sana
Kweli kamati iliyopewa hili zoezi na halmashauri ya mji kwa ujumla Mungu anawaona [emoji3]
Kule Tanga pia semina walilipwaKuna wilaya washaanza kazi siku ya tatu leo na wamelipwa hadi posho ya semina