Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
[emoji1787][emoji1787]Sehemu zingine unapigiwa simu unahojiwa maswali mawili matatu imeisha iyoooo. Bongo sihami
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787]Sehemu zingine unapigiwa simu unahojiwa maswali mawili matatu imeisha iyoooo. Bongo sihami
Wapi kiongoziNi mji gani hiyo Nyumb 35 a Day... wengine tumefanya interview week ya pili sas imeisha hakuna majibu
Tena sanaVijana tuna hali mbaya sana..[emoji1][emoji1]
Tuambie Kunguru wa Manzese yaliyojiri huko, wengine bado hatujaanza mchakatoHii kazi hii
Baada ya wiki
Nitakuja kuwapa vichekesho kweli bongo .
Bongo ni nyoso [emoji1787][emoji1787]
Kiufupi nina siku mbili toka kazi nianze
Niseme tu hii nchi kuna watumishi wengi wanamyumbisha mama
Kwenye semina mshaenda ?Tuambie Kunguru wa Manzese yaliyojiri huko, wengine bado hatujaanza mchakato
IT wa bongo ni miyeyusho hata huku server inaleta ungese Daah kwenye mwembe sijui kwenye gps itakuaje hapo maana unatakiwa uchukue exact location ya nyumba ujaze ili latitude na longitude wazipate [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hili zoezi ni takataka kabisa kwa hii halmashauri niliyopo kwa sababu server inazingua halafu malipo hayajulikani ni lini kingine watu wanaenda kuchukua orodha za wenyeviti wa vitongoji na kujazia chini ya miembe kiukweli nchi hii bado sana afadhali mrema yeye anaoa kibinti kibichi cheupe atakuwa anaenjoy hata kagoli kamoja kwa mwezi
Bado leo ndo nimetoka kweny usaili nasubiria kuitwa!Kwenye semina mshaenda ?
Aisee mmechelewa sana wapi hukoBado leo ndo nimetoka kweny usaili nasubiria kuitwa!
Ni mikoa ya kusini huku, naona wakubwa walikuwa wanataka wapige kwanza ndo zoezi lianze!![emoji16][emoji16]Aisee mmechelewa sana wapi huko
Mkuu hela ya bando wamewapaIT wa bongo ni miyeyusho hata huku server inaleta ungese Daah kwenye mwembe sijui kwenye gps itakuaje hapo maana unatakiwa uchukue exact location ya nyumba ujaze ili latitude na longitude wazipate [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo wahuni wanapika data [emoji1787]
Kwenye malipo kuna upigaji kuna baadhi ya halmashauri waligoma kuanzia viongozi namaanisha wajumbe na wenyekiti na waajiriwa wale wakusanya taarifa kama mimi na wewe
Huku kwetu tuna siku ya pili hatujalipwa
Leo siku ya 3 hatujapewa kitu chochoteMkuu hela ya bando wamewapa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna wilaya nasikia walifanya semina tarehe 8/03/2022 hadi leo hawajaitwa na hawajui kinachoendelea na wala hakuna posho ya Semina [emoji16][emoji16]
Kuna Madudu mengi [emoji1787][emoji1787]Zoezi Hili ni zaidi ya kituko