lordchimkwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 1,914
- 3,356
Ingekua vema ungeweka hayo maswali hapa mkuu sharing is caringWa ilala ndio tumetoka kupiga interview mida hii mnazi mmoja..
Writing interview only
Maswali 5.
Tumemuomba tokea mda Ila amebana sanaIngekua vema ungeweka hayo maswali hapa mkuu sharing is caring
Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Atakuwa muongo huyoTumemuomba tokea mda Ila amebana sana
poa poa mkuuKwenye ubao ea matangazo unamaelekezo ya vitu vya kuja navyo kwenye interview na mostly ni Smartphone na Vyeti halisi
Mkuu moshi vijijini mshaanza kupga kaziHuku moshi vijijin tunajipigia tu no competition at all
Hata simu yenye 1RAM inatumika tu kiroho safi
😂😂😂😂😂Eeeh huo uzalendo ni zaidi ya raia wa Ukraine walioshika silaha kwa kimkabili adui ambaye wanajua hawamwezi.
HV mbona halimashaur zingine hawatangazi au n baadhi ya mikoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watatangaza tu mkuu.HV mbona halimashaur zingine hawatangazi au n baadhi ya mikoa
dah!!shukrani.
Ingekua vema ungeweka hayo maswali hapa mkuu sharing is caring
Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Nasikia malipo yamekua 450000 kwa mwezi badala ya 30000 kwa siku
Si hao wanaofanya hiyo kaziWapi hiyo?
Kwani haukusoma vizuri mshahara ni laki nne na nusu iyo elfu thelathini ni ya bundle kila mwezi kwa miezi miwili bass,Nasikia malipo yamekua 450000 kwa mwezi badala ya 30000 kwa siku
Mbona walisema elfu 30 kwa siku????Kwani haukusoma vizuri mshahara ni laki nne na nusu iyo elfu thelathini ni ya bundle kila mwezi kwa miezi miwili bass,
Matangazo yapo tofaut yana vary kutokana na halmashaur mfano ilala ni 450 + 30 Ubungo ni 30 per day +30 ya bundle siku 68 moro ni 30 per day siku kumiMbona walisema elfu 30 kwa siku????
Ubungo tayari nenda kwenye website ya manispaa au kwenye page yao Instagramhalimashauri ya ubungo vipi? Mkeka haujatoka?