Nipo live eneo la usahili anwani za makazi na postikodi

Nipo live eneo la usahili anwani za makazi na postikodi

Wilaya ya ubungo nasikia wamepunguza malipo kutoka 30000 Hadi 15000 kwa siku. Na pia wamepeleka watu ambao mitaa hawaijui vizuri wenyeviti wa mitaa wamecomplain hili suala!!
Kama ndo ivi sijui kama watawalipa Kwa wakati...
 
kwani malipo si 30 au ndo wakurugenzi wanakula chajuu
 
maswali ata ayaelewek ni tofaut tofaut mwngne anaulizwa no yko ngap ? , mwingne jina la mkuu wa wilaya , maswali ya kawaida tu
na huwa wanatuma msg kukujulisha usahili au una subiria tangazo kwenye site.

maana dar walikuwa wanatuma ila sijajua mikoa mingine.
 
Tuna safari ndefu sana, kila mishe uwe na network......
 
Wenye maswali waweke ili kusaidia wengine ambao hawajaitwa Bado
Wengine tumeulizwa umri wako ,unafanya kazi gani

Embu tuone vyeti vyako ( original certificate ya kuzaliwa na form 4)

Embu tuone simu yako walikuwa wanaangalia android version ngapi


Basiii hakuna cha mtihani wala kuandika
 
na huwa wanatuma msg kukujulisha usahili au una subiria tangazo kwenye site.

maana dar walikuwa wanatuma ila sijajua mikoa mingine.
mi mwenyewe natamani kujua hilo. maana sisi wengine tokea tuombe huku Manispaa ya Mpanda hatujui nini kinaendelea
 
Back
Top Bottom