Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Nimefika hapa Magomeni, sioni watu wala kikundi cha watu, mkowapi ndugu zangu waandamanaji niungane nanyi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili za kipolisi "I don't see nobody"Nimefika hapa Magomeni, sioni watu wala kikundi cha watu, mkowapi ndugu zangu waandamanaji niungane nanyi?
Nimehuzinika sanaUmefurahi?
Nani Polisi?Akili za kipolisi "I don't see nobody"
Kwamba wenzangu tayari wameondoka kwenda mnazi mmoja au?Umechelewa mkuu!
Nimefika hapa Magomeni, sioni watu wala kikundi cha watu, mkowapi ndugu zangu waandamanaji niungane nanyi?
Huwaoni kwasababu wanaandamia nyuma ya keyboards zao!Nimefika hapa Magomeni, sioni watu wala kikundi cha watu, mkowapi ndugu zangu waandamanaji niungane nanyi?
Waandamanaji hawaonekani, ukiwaona sehemu nishtueM niko na box la barafu, nimejazamo energy drink! Nasubiri waandamaji! Ni wateja wazuri mno
Jinyonge mkuuNimehuzinika sana
Ni huzuni kwakweli, sasa ngoja niende boma, nikiwakosa narudi nyumbaniHuwaoni kwasababu wanaandamia nyuma ya keyboards zao!
Kwanini nijiue? Kwasababu sioni watu auJinyonge mkuu
Wapo Mnazi Mmoja wanakusubiri.Kwamba wenzangu tayari wameondoka kwenda mnazi mmoja au?
Naenda Ilala kwanza, nikiwakosa narudi nyumbanime nishafika centra huku, kuna majamaa wameniambia nije niandamane huku wamenipa na lifti kwenye gari lao.
njoo na wewe.
Yani kwa dakika hizi chache tayari wamefika mnazi mmoja?Wapo Mnazi Mmoja wanakusubiri.
We rudi tu. Erythrocyte mwenyewe HAJULIKANI yuko wapi na hata "tarehe za juu" (updates) hatupi kama ilivyokuwa kabla ya maandamano!Ni huzuni kwakweli, sasa ngoja niende boma, nikiwakosa narudi nyumbani
Leo ndyo nimeamini bongo kuna kunguru wengi sana