Nipo Magomeni na sioni mtu. Mko wapi tuanze safari kwenda mnazi mmoja?

Nimefika hapa Magomeni, sioni watu wala kikundi cha watu, mkowapi ndugu zangu waandamanaji niungane nanyi?
Mimi nipo hapa mnazi mmoja nawasubiri naona hawafiki , wamekwama wapi ndugu zetu ...
 
Mimi nipo hapa mnazi mmoja nawasubiri naona hawafiki , wamekwama wapi ndugu zetu ...
Mkuu sio kweli, kwanini uende huko na tulikubaliana tunaanzia Magomeni na Ilala
 
Mkuu sio kweli, kwanini uende huko na tulikubaliana tunaanzia Magomeni na Ilala

hapana mimi nawasubiri huku mwisho , naweka mazingira vizuri mbona hamfiki mpo wapi ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…