Nipo Majuu huku, aisee watu weusi wa huku wana tabia za ajabu

Nipo Majuu huku, aisee watu weusi wa huku wana tabia za ajabu

Pamoja na laana uliyotoa kwa watu weusi wa Marekani lakini usisahau kuwa huko ndiko nyumbani kwa akina Collin Powell, Condoleezza Rice, Rev Jesse Jackson, Barack Obama, Michael Jackson, Magic Johnson, Martin Luther King Jr, Malcolm X, Betty Shabazz na wengine wengi.
Kwa kifupi pamoja wachache wanye sifa mbaya lakini pia kuna wenye sifa nzuri mno kama ilivyo kwa watu wa rangi nyingine.
 
Wengi wanasifa mbaya wachache ndio wazuri tena kwa sababu wameishi Marekani.
 
Wakuu hii rangi imelaaniwa .

Nilikuwa najua black (Nigga) waliozaliwa marekani wapo tofauti na waswahili kumbe hamna.

Yaani kuna sehemu nafanya mchongo jamaa wakipewa hela hawarudi kazini kesho yake.

Then wanazaa balaa

Wakipewa nafasi za juu wanaharibu daah hii rangi inashida Sana
Mtu mweusi bado yupo kwenye mchakato wa kuwa binadamu kamili.
 
At least hawaharibu miundombinu ya nchi
Huku kabla ya Brexit waliingia sana Eastern Europeans
Jamaa waizi balaa, na kwao ni njaa haswa
Walipoona maduka ya dhahabu display nje nje wakawa wanavunja asubuhi mbele ya watu
Waliiba mpaka cable za treni kama utaamini
Vifuniko vyingi vya mitaro walibeba mitaani
Huwezi kuamini kuna mama mmoja mzungu alisema amekaa huo mtaa miaka 70 hajawahi kuona sewer cover na drain covers zinaibiwa
Brexit ikapita wengi wakaondolewa
Wazungu wakasema bora sisi
Usikariri sehemu moja tu
Kweli wapo kula kulala weusi na wabwia unga na wenye malezi magumu kwa sababu ya community wanazioshi lakini wengi waliojitoa na kuishi kwingine wana maisha mazuri tu
 
Back
Top Bottom