Nipo Majuu huku, aisee watu weusi wa huku wana tabia za ajabu

Nipo Majuu huku, aisee watu weusi wa huku wana tabia za ajabu

Tuambie hizo sababu MTUMISHI

Au alimchungulia na kuona utupu wa Baba ake ?
Kosa halikuwa kumchungulia utupu .
Issue ni yale maneno ya urithi.
Alirithishwa utumwa.
Unajua ili uwe mtumwa lazima master wake akuzidi akili.
Hivyo lile neno liliharibu akili ya yule kijana na uzao wake mpaka mwisho wa Dunia
 
Basi shughuli imeishia hapo sasa kwanini watu wakatae kuwa tupo chini yao? Angalia tu hata katika kustarabika tumezidiwa.
Kwahiyo tunarudi kule kule "Never outshine the master".
 
Nyimbo ya Jay Z inaitwa OJ kazungumzia mambo mengi

Anasema Leo hii MTU mweusi anaogopa kwenda kununua ardhi chanika kwakuwa ni mbali Ila siku zijazo hatoweza kununua Ila ataenda kupanga in such area.

So you can be black -and you can be poor or rich

as well you can be white you can be poor or rich
Kwahiyo chanika kabisa?
 
Wakuu hii rangi imelaaniwa .

Nilikuwa najua black (Nigga) waliozaliwa marekani wapo tofauti na waswahili kumbe hamna.

Yaani kuna sehemu nafanya mchongo jamaa wakipewa hela hawarudi kazini kesho yake.

Then wanazaa balaa

Wakipewa nafasi za juu wanaharibu daah hii rangi inashida Sana
HAHAHAHAHHAAH eti hii rangi inashida sana!hahahah
 
huko network inashika 5G au ni ujinga ujinga tu kama wa bongo?
IMG-20240908-WA0004(1).jpg
 
Ukiona hivyo ujue blacks kuzaana na kuishi mtindo tunaoishi tunaongozwa na msukumo wa asili (nature) ili kukidhi hitaji la mfumo wa ulimwengu.

Ni sawa na nyumbu kuzaliana sana na kufanya makosa mengi kiutendaji ili Simba, mamba na wanyama wengine walao nyama wapate mlo na waendelee kuwepo.
Noma sana😆
 
Hawa ni shida. Wamejaa Finland. Wana ubaguzi hatari. Yaani wakikuona mtu mweusi ambaye sio msomali wanapita mbali kabisa
Watubague tu inaturahishia kukaa mbali na uchafu wao.

Hawa viumbe ni wachafu hakuna mfano
 
Wakuu hii rangi imelaaniwa .

Nilikuwa najua black (Nigga) waliozaliwa marekani wapo tofauti na waswahili kumbe hamna.

Yaani kuna sehemu nafanya mchongo jamaa wakipewa hela hawarudi kazini kesho yake.

Then wanazaa balaa

Wakipewa nafasi za juu wanaharibu daah hii rangi inashida Sana
kituambacho umesahau ni kwamba hao unaowaona huko walitoka africa hao ni vijukuu na vitukuu wao,hawaza zaliwa na wazungu
 
Back
Top Bottom