third eye chakra
JF-Expert Member
- Dec 27, 2023
- 713
- 1,745
Pure human nimtu mweusi yani dongo jeusi.hii ukubali au ukatae ndio umepewa ukweli...hayo mengine niujanja kuwahi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Mkuu, weusi wa huko nao ni wazee wa kula tunda kimasihara ndio maana wanazaliana sana?!At least hawaharibu miundombinu ya nchi
Huku kabla ya Brexit waliingia sana Eastern Europeans
Jamaa waizi balaa, na kwao ni njaa haswa
Walipoona maduka ya dhahabu display nje nje wakawa wanavunja asubuhi mbele ya watu
Waliiba mpaka cable za treni kama utaamini
Vifuniko vyingi vya mitaro walibeba mitaani
Huwezi kuamini kuna mama mmoja mzungu alisema amekaa huo mtaa miaka 70 hajawahi kuona sewer cover na drain covers zinaibiwa
Brexit ikapita wengi wakaondolewa
Wazungu wakasema bora sisi
Usikariri sehemu moja tu
Kweli wapo kula kulala weusi na wabwia unga na wenye malezi magumu kwa sababu ya community wanazioshi lakini wengi waliojitoa na kuishi kwingine wana maisha mazuri tu
Sijui kwanini watu weusi wengi hawajui hili.Pure human nimtu mweusi yani dongo jeusi.hii ukubali au ukatae ndio umepewa ukweli...hayo mengine niujanja kuwahi.
Mafanikio yao makubwa nasehemu kubwa ilio zingatia nihuyu mtu akijitambua nihatari hivyo kwanguvu zote lazima huyu awe chini ya mfumo apangiwe nakukabidhiwa kutekeleza tuu.Sijui kwanini watu weusi wengi hawajui hili.
Nahapo ndipo shetani alipomgiga bao mungu... na kweli blacks wameingia kwenye mfumo na mfano mzuri kwenye huu uzi ukisoma comments nyingi utaona kwamba watu wengi bado wanawaona whites kama viumbe venye akili sana.Mafanikio yao makubwa nasehemu kubwa ilio zingatia nihuyu mtu akijitambua nihatari hivyo kwanguvu zote lazima huyu awe chini ya mfumo apangiwe nakukabidhiwa kutekeleza tuu.
Huyu ndio awe mteja mkuu.
Mzee acha dharau.Ukiona hivyo ujue blacks kuzaana na kuishi mtindo tunaoishi tunaongozwa na msukumo wa asili (nature) ili kukidhi hitaji la mfumo wa ulimwengu.
Ni sawa na nyumbu kuzaliana sana na kufanya makosa sana kiutendaji ili Simba, mamba na wanyama wengine walao nyama wapate mlo na waendelee kuwepo.
Ukweli mchungu..!Mzee acha dharau.
So we black people are disposable?
Mkuu si kwamba wewe ndo umefikia mitaa iliyolaaniwa kweli?😫Wakuu hii rangi imelaaniwa .
Nilikuwa najua black (Nigga) waliozaliwa marekani wapo tofauti na waswahili kumbe hamna.
Yaani kuna sehemu nafanya mchongo jamaa wakipewa hela hawarudi kazini kesho yake.
Then wanazaa balaa
Wakipewa nafasi za juu wanaharibu daah hii rangi inashida Sana
Juu kwa babaMajuu ndio wapi
Mkuu punguza hasiraKwa kuwa inasemekana Adam na Eva walikuwa weupe basi mweusi alijitokea tu pasipojulikana, ndio maana akili zetu zipo chini. Na kama Mungu aliumba watu weusi basi alikuwa amechoka.
Sio tu kula tunda bali hata elimu ni duni kwa watu weusiKwahiyo Mkuu, weusi wa huko nao ni wazee wa kula tunda kimasihara ndio maana wanazaliana sana?!
Wa kutoka Africa wanafanya vizuri kwenye ajira na crimes zao ni kama hakuna tu maana ni % ndogo sanaWenye shida wengi ni Gypsies, Waromania, Bulgarians, watu wa Poland wengi ni wachapa kazi sana. Ila wana mambo kama Afrika wanachukiana sana. Ila sio waharibifu sana, wapigaji kwenye benefits, takwimu unaweza kuzipata magereza, uhamiaji, mahakamani, council.
Hata weusi wengi middle and high class kutoka Africa wanafanya vizuri sana tu.
SawaJuu kwa baba
Kuna mmoja alipangisha kijumba chetu marekani yeye na familia yake yani kulipa ni kwa tabu kama tupo mbagala ,kila siku anakuja na story wakati watu tuna mikopo ya kulipa hovyo kabisa ngozi nyeusiWakuu hii rangi imelaaniwa .
Nilikuwa najua black (Nigga) waliozaliwa marekani wapo tofauti na waswahili kumbe hamna.
Yaani kuna sehemu nafanya mchongo jamaa wakipewa hela hawarudi kazini kesho yake.
Then wanazaa balaa
Wakipewa nafasi za juu wanaharibu daah hii rangi inashida Sana
Tuliosoma Biblia tunajua sababu za mtu mweusi kuwa mla rushwa, untrustful, mlevi mbwa n.k