Wewe haujawahi pewa mfinyo na kuchezewa hivo vi chuchu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwahiyo mwisho wako wa kusikia tu umewadia, mayowe utapiga wewe.Hahahahah kitendo cha kupiga mayowe nakisikia kwa watu tu anaetakiwa kulia ni manzi [emoji23][emoji23][emoji23]
Usisahau mrejesho.Sawa Mkuu
Mjibu "k" usiongeze hata O.
Au mwambie, "k, bye" halafu futa namba zake.
Tatizo ni lipi? mkuu ili niweze kujirekebisha Uko Mbeleni nitakapo amua tena kurudi kwenye Maswala ya mahusiano.Namba ashadelete, βThe sender is not in your contact listβ naona ameanza kumove on taratibu....Ila nimegundua tatizo la jamaa kuchwa..Kwa mwendo huo ataachwa sana, labda ajirekebishe mocker
Achana nae fala huyoNimetumiwa ujumbe Wa kuachwa leo nitaweka screenshot
Hiki kipigo kwa kichina kinaitwa Tai Chi πππ demu anakuacha kwa gia ya kuokoka!!!Kaamua kutafakari maisha yake, sasa na wewe tafakari maisha yako. Sidhani kama umemkosea jambo,angekueleza. Ni namna tu ameamua kuyafanya maisha yake kuwa rahisi kwa namna yeye ametaka.vivyo hivyo nawewe ufanye maisha yako kuwa rahisi kwa namna vile ipasavyo kwa kumuacha aende.
Namna yoyote ya kujilaumu au kufanya mahusiano yaendelee utafanya maisha yako ya furaha kuwa magumu.
Mimi naona ili upate amani,usithubutu kumjibu.fanya kama hujaona kitu.atajua ujumbe umefika atakapoona humtafuti tena.
Nakuomba uachane nae...
ππππππ hii kaliii hebu ninywe maji kwanza nimezee!Wewe haujawahi pewa mfinyo na kuchezewa hivo vi chuchu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwahiyo mwisho wako wa kusikia tu umewadia, mayowe utapiga wewe.
[emoji28][emoji28][emoji119][emoji119]Hiki kipigo kwa kichina kinaitwa Tai Chi [emoji23][emoji23][emoji23] demu anakuacha kwa gia ya kuokoka!!!
Ivi kufinyia kwa ndani ndo kiaje yaan. Naomba kueleweshwaNisije nikafinyia kwa ndani ukaanza kupiga makelele tu nikaonekana nakuua.
Aendelee kumuangalia au afuate mambo yakeHakupendi.... Mtu asiyekupenda hata story na ww anakosa hata majibu yake yanakuwa kifupi fupi tu. Kwa ujumla anakuona kero kwake.
Kwa mtu anayempenda mambo yanakuwa kinyume.
Kuna sign ilibidi uzisome mapema, wakati mwingine mtu anaweza kukubali tu ili kusogeza siku au apate huduma flani kutoka kwako hasa pesa. Na si kwamba kakukubali kisa nae kakupenda.
Akija pata mtu anayempenda anakupotezea kimya kimya kama hivyo.
Anaweza kuja kukutafuta tena skiwa na shida au akitendwa huko alipo. Napo tarajia hiki tena kujirudia.
Cha kufanya usiendelee kujidhalilisha acha kupiga simu wala kutuma text. Mtu asiyeweza kuheshimu hisia zako hata kiungo uongo ni kuepuka. Akijirudisha omba mzigo piga halafu endelea kumuangalia kama kabadilika.
Huyo demu alikuwa anakupumzikia sema tatizo ugeni na haya mambo ila utakaa sawa hata sisi tulipitia hayo!Kaniacha rasmi leo
Tulia mie nikifinyiwa ntakupa mrejesho baada ya Derby yetuπIvi kufinyia kwa ndani ndo kiaje yaan. Naomba kueleweshwa
Daaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1. Ulikuwa unampa hela au ulikuwa umekalia kumjulia hali tu asubuhi na jioni?
2. Ulikuwa tayari ushamla?
3. Pengine amekinaishwa na uandishi wako huu:
apokei = hapokei
ajibu = hajibu
anijibu = hanijibu
uyu = huyu
akadah = akadai
ili = hili
Hata kama wewe ni Mhaya au Mkerewe, jibidishe sana utambue matumizi sahihi ya irabu za Kiswahili na h- ambayo ni kikanushi katika Kiswahili na unapoiondoa wakati mwingine unapoteza maana kabisa. Pengine binti wa watu ulikuwa unamchanganya na maujumbe yasiyoeleweka...[emoji1][emoji1][emoji1]
Hahahaha pole Sana.Nimetumiwa ujumbe Wa kuachwa leo nitaweka screenshot