comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Kama usemayo ni kweli, una akili na busara sana mbali na uthubutu. Kama utanishawishi, basi nitakuwa mtume au swahaba wako wa kwanza.Kitabu kitakachoongoza imani hii kitakua na page takribani 600.
Utofauti wa dini hii na hizo nyingine ambazo ni biashara za watu, hii haitakua biashara, hii itakua ni dini ya kumuabudu Mungu wa kweli (sio Mungu kiziwi asieshughulika na matatizo ya watu)
UTamuabudu Mungu wa asili yako (sio Mungu wa kiarabu au wa mashariki ya kati, huyu ni Mungu wa asili ya chimbuko lako)
Huku kwangu kutakua hakuna sadaka za kujimaliza wala michango ya kijinga, kutakua na taratibu za kufanya ibada na maombi yanayojibiwa kwa wakati.
Nina mengi ya kueleza lakini natamani waumini wa mwanzo mwanzo niwapate hapa jf
Nakamilisha kitabuSupport utapata
Naandaa kitabu cha namna ibada zitavyoendaNipo tayari kujitolea japo sijaona kamati ya walinda hazina.
Itakua safi sanaKama usemayo ni kweli, una akili na busara sana mbali na uthubutu. Kama utanishawishi, basi nitakuwa mtume au swahaba wako wa kwanza.
😅😅 Muumini wa kwanza anaitwa binti wa zamanihio dini itakuwa noma mazee ngoja tuone.
View attachment 3513690
Utapata majibu yaliowashinda hao wafanyabiashara usijaliTunakisubiria hicho kitabu chako, Huenda page za mwanzo kabisa umemaliza hoja zilizoshindwa kujibiwa na wenzako like;
Mungu ni nani?
Mungu alitokea wapi?
I'm waiting for it.
Utanitagg.
Hayo maneno ya kitabu unayatoa wapi au unatunga tuNakamilisha kitabu
Mungu ni dhana.Utapata majibu yaliowashinda hao wafanyabiashara usijali
😁hio dini itakuwa noma mazee ngoja tuone.
View attachment 3513690
PAN AFRICANISM ndo dini sahihiKitabu kitakachoongoza imani hii kitakua na page takribani 600.
Utofauti wa dini hii na hizo nyingine ambazo ni biashara za watu, hii haitakua biashara, hii itakua ni dini ya kumuabudu Mungu wa kweli (sio Mungu kiziwi asieshughulika na matatizo ya watu)
UTamuabudu Mungu wa asili yako (sio Mungu wa kiarabu au wa mashariki ya kati, huyu ni Mungu wa asili ya chimbuko lako)
Huku kwangu kutakua hakuna sadaka za kujimaliza wala michango ya kijinga, kutakua na taratibu za kufanya ibada na maombi yanayojibiwa kwa wakati.
Nina mengi ya kueleza lakini natamani waumini wa mwanzo mwanzo niwapate hapa jf
Yanatokana na utafiti wangu kupitia Mungu huyo tutakaemuabuduHayo maneno ya kitabu unayatoa wapi au unatunga tu
ni yupi hasa maana Tanzania ina kabila zaidi ya hamsini na zote zinatamaduni zao na miungu yao, utachagua mungu mmoja na wengine watakubali mungu wao aache na achaguliwe mwingine, utanzisha mungu mpya na kuambia watu wamfatehuyu ni Mungu wa asili ya chimbuko lako)
ni yupi hasa maana Tanzania ina kabila zaidi ya hamsini na zote zinatamaduni zao na miungu yao, utachagua mungu mmoja na wengine watakubali mungu wao aache na achaguliwe mwingine, utanzisha mungu mpya na kuambia watu wamfate
AFRICAni yupi hasa maana Tanzania ina kabila zaidi ya hamsini na zote zinatamaduni zao na miungu yao, utachagua mungu mmoja na wengine watakubali mungu wao aache na achaguliwe mwingine, utanzisha mungu mpya na kuambia watu wamfate