Nipo mbioni kufungua dini yangu (imani mpya ya kuabudu)

Tunakisubiria hicho kitabu chako, Huenda page za mwanzo kabisa umemaliza hoja zilizoshindwa kujibiwa na wenzako like;

Mungu ni nani?
Mungu alitokea wapi?

I'm waiting for it.
Utanitagg.
Kuna maswali kule nimeuliza hamkunijibu nyinyi atheists
 
Ndio yupi huyu mungu unaetaka watu waanze kumuabudu Miti mikubwa, mizimu, jua , mapango
Kuna sehem nimesema hapo kuabudu kwenye mapango? 🀣🀣 Bongo kwa ujuaji, we subiri kitabu au nawewe kama vip fungua ya kwako
 
Usisahau kuithibitisha kwa kuandika:

Hii ndiyo Dini isiyo na Shaka hata moja, na ndio ya Kweli, ya Haki na Amani mbele ya mungu halisi, na mtume wake ndio mtume wa mwisho kabisa, na ametumwa kwa watu wa Dunia yote:

Hapo utaizidi vigezo dini iliyo letwa kabla ya hiyo yako:
 
Kuna sehem nimesema hapo kuabudu kwenye mapango? 🀣🀣 Bongo kwa ujuaji, we subiri kitabu au nawewe kama vip fungua ya kwako
Umesema miungu ya asili, sasa mkuu miungu ya asili unaijua au, watu walikuwa wanaabudu kwenye mapango, sasa kama dini itakuwa inahusu miungu ya asili unahisi watakuwa wana abudia wapi, kama waislamu wanaabudia misikitini, waikristu makanisani
 
kila mtu na asili yake so dini yako itauwa na miungu mingi ili kuidhi asili ya ila muumin wako?
 
Hakuna cha dini wala mungu wa kweli hapo.

Hapo ni imani za kilozi na ushirikina kama jinsi unavyojipambanua uwapo hapa JF.
 
Mkuu comrade_kipepe tushushie hata verse mbili tatu za hicho kitabu. Yaani kama intro au trela kabla hatujapata movie kamili ili tupate kukuamini mtaalam wetu.
 
Wewe ni yule don nalimison aka deogratius kisandu?
 
Issue ya pombe umeiwekaje nione kama tunaweza kuwa pamoja?
 
Page 600 zote za nini? Ziwe 70 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…