Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

Labda unisaidie mm naonekana muongo
Kaka hao hawako Mtwara, siku moja mimi niko shooters siku ya mwaka mpya eti nataka kutoa hela hamna vibanda vya Mpesa usiku saa7 ilinilazimu nitoke na boda 3k mpaka roundabout ya mnada wa mbuzi huku ndo nitoe hela maana haikuwa benki ilikuwa wenye simu. Yaani nilikuwa natukana njia nzima kudadeq Mtwara jau kinoma 😂
 
Nway mm sio kaka mkuu...ila maisha ya ntwara jau sana🤣
 
Hakuna sehemu nimesema chakula ni chakula ni shida! Elegant kiswahili njomba nchumari!
Shida wengine wanapataje? Ukianza kujipikia utaona chakula sio shida shida pesa mzungo wa pesa mtwara sio mgumu kabisa
 
Serikali hii hii ya kuupiga mwingi??

Cc:Lucas Mbwa Wa Shamba.
 
Sasa watu waache kulala waje kutoa hela zako
 
Sasa si umtaje tuu Dr V teh teh teh Landa yupo ligula Hospitql
 
Usilaumu yalio tokea mtwara ujawai yasikia mkuu watu kukaa mpaka saa saba mtwara kwasasa uongo

Hukusikia watu wanakamatwa stend wakiwa na silaa?

Ukusikia kuchomwa kwa nyumba za watu usiku wakiwa watu wamelala wakijua ni wageni?

Mambo yanabadirika mkuu enzi za nyuma watu walikuwa wanafunga maduka saa sita mkesha wa mwaka mpya watu unawakuta njee kipindi cha mfungo watu walikuwa wanatembea usiku wakiimba kaswida now sio vyepesi mmeenda wakat mji upo kwenye machafuko lazima mpachukie
 
S
Nikuunge kwenye fursa utengeneze pesa kila siku.
 
Sasa si umtaje tuu Dr Victor teh teh teh Landa yupo ligula Hospitql
Ahahh nimefanya nao kazi vizuri sana pale manispaa mpaka sasa kipindi maruso yupo pale muhasibu mkuu alikuwa hana shida tofauti na huyu alie letwa sasa kajawa na kibri
 
Serikalini ifanye Nini??? Ama ikuelekeze hotel za hadhi yako zenye maji na chakula? Haujui Kama ndege zinashuka umeamua kupanda bus sio? Ama ulitaka usafiri wa kugombania Kama wa G/mboto?? Otherwise ni fursa hizo zitumie......
 
We jamaa, anaongelea maisha ya kawaida ya Mtanzania, we nae jau tu. Sasa unategemea labda mimi nina kipato cha laki3 kwa mwezi nifike sehemu nichukue lodge ya 50k per day. Una mavi 😂
Mavi ni Hayo unayoyazungumza.. Sasa unalalamikaje wakati huna kipato Cha maana au unajijua una kipato kidogo.. Tafuta hela uache kunung'unika maisha mazuri Kila sehemu yapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…