Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

Labda unisaidie mm naonekana muongo
Kaka hao hawako Mtwara, siku moja mimi niko shooters siku ya mwaka mpya eti nataka kutoa hela hamna vibanda vya Mpesa usiku saa7 ilinilazimu nitoke na boda 3k mpaka roundabout ya mnada wa mbuzi huku ndo nitoe hela maana haikuwa benki ilikuwa wenye simu. Yaani nilikuwa natukana njia nzima kudadeq Mtwara jau kinoma 😂
 
Nway mm sio kaka mkuu...ila maisha ya ntwara jau sana🤣
 
Hakuna sehemu nimesema chakula ni chakula ni shida! Elegant kiswahili njomba nchumari!
Shida wengine wanapataje? Ukianza kujipikia utaona chakula sio shida shida pesa mzungo wa pesa mtwara sio mgumu kabisa
 
Serikali hii hii ya kuupiga mwingi??

Cc:Lucas Mbwa Wa Shamba.
 
Kaka hao hawako Mtwara, siku moja mimi niko shooters siku ya mwaka mpya eti nataka kutoa hela hamna vibanda vya Mpesa usiku saa7 ilinilazimu nitoke na boda 3k mpaka roundabout ya mnada wa mbuzi huku ndo nitoe hela maana haikuwa benki ilikuwa wenye simu. Yaani nilikuwa natukana njia nzima kudadeq Mtwara jau kinoma 😂
Sasa watu waache kulala waje kutoa hela zako
 
Sawa ila ungefika mtwara 2007-2009 ungesemaje ambapo ulikuwa unasafir siku nzima na kipindi cha nyuma watu walikuwa wanalala njian kufika dar na usafiri mkubwa wa mtwara kwenda dar ilikuwa ni meri enzi hizo mlikuwepo?

Ndio maana nimekwambia kuhusu changamato hizo ni changamoto za tz dar hakuna sehemu maji ni ya shida?

Dar hakuna sehemu usafir wake ni washida? Ushawai kaa mpigi?

Fact yako ni kwamba unapenda starehe na unataka sehemu za kujimwaga umeelekezwa ila kusema pabaya uongo

Ungepangiwa wilaya za ndani uko newela tandaimba sawa ila hapo mjini uongo

Kwetu sio mtwara ila hapo manispaa ukimuulizia nafahamika sana au nikutajie na watu wake katibu wako wa afya najua upo hapo hospital ya likombe bila shaka
Sasa si umtaje tuu Dr V teh teh teh Landa yupo ligula Hospitql
 
Kaka hao hawako Mtwara, siku moja mimi niko shooters siku ya mwaka mpya eti nataka kutoa hela hamna vibanda vya Mpesa usiku saa7 ilinilazimu nitoke na boda 3k mpaka roundabout ya mnada wa mbuzi huku ndo nitoe hela maana haikuwa benki ilikuwa wenye simu. Yaani nilikuwa natukana njia nzima kudadeq Mtwara jau kinoma 😂
Usilaumu yalio tokea mtwara ujawai yasikia mkuu watu kukaa mpaka saa saba mtwara kwasasa uongo

Hukusikia watu wanakamatwa stend wakiwa na silaa?

Ukusikia kuchomwa kwa nyumba za watu usiku wakiwa watu wamelala wakijua ni wageni?

Mambo yanabadirika mkuu enzi za nyuma watu walikuwa wanafunga maduka saa sita mkesha wa mwaka mpya watu unawakuta njee kipindi cha mfungo watu walikuwa wanatembea usiku wakiimba kaswida now sio vyepesi mmeenda wakat mji upo kwenye machafuko lazima mpachukie
 
S
Tangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya Mikindani na ndiyo mjini.

Sikuamini! Mr. akanitia moyo na kuniambia nitazoea mazingira. Nikasema, "Sawa, maadam ni mjini, kitu cha msingi ni huduma."

Tukachukua lodge (na lodge zenyewe maji hayatoki, wanategemea maji ya mvua... yani ni tafrani tupu!). To cut a long story short, maisha ya Mtwara ni magumu kwenye nyanja zote! Maji ni shida, bei ya vitu iko juu sana kuliko hata Dar es Salaam, na miundombinu hafifu inafanya usafiri kuwa wa tabu.

Huduma za kifedha ni chache na ziko mbali, yani kulala au kushinda njaa ukiwa na hela mfukoni ni kitu cha kawaida sana hapa!

Ikifika saa 3 usiku, barabarani ni nyeupe kabisa—huoni mtu, na maduka yanafungwa mapema. Viwanja vipo, lakini The Shooters ndicho kiwanja pekee nilichoelewa, na nikiwa hapo najihisi kama niko Dar es Salaam.

Serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa!
Nikuunge kwenye fursa utengeneze pesa kila siku.
 
Sasa si umtaje tuu Dr Victor teh teh teh Landa yupo ligula Hospitql
Ahahh nimefanya nao kazi vizuri sana pale manispaa mpaka sasa kipindi maruso yupo pale muhasibu mkuu alikuwa hana shida tofauti na huyu alie letwa sasa kajawa na kibri
 
Serikalini ifanye Nini??? Ama ikuelekeze hotel za hadhi yako zenye maji na chakula? Haujui Kama ndege zinashuka umeamua kupanda bus sio? Ama ulitaka usafiri wa kugombania Kama wa G/mboto?? Otherwise ni fursa hizo zitumie......
 
We jamaa, anaongelea maisha ya kawaida ya Mtanzania, we nae jau tu. Sasa unategemea labda mimi nina kipato cha laki3 kwa mwezi nifike sehemu nichukue lodge ya 50k per day. Una mavi 😂
Mavi ni Hayo unayoyazungumza.. Sasa unalalamikaje wakati huna kipato Cha maana au unajijua una kipato kidogo.. Tafuta hela uache kunung'unika maisha mazuri Kila sehemu yapo.
 
Back
Top Bottom