To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
✌️I appreciate it...Yap yap yap
Pole lakini...kuajiriwa ni nusu utumwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
✌️I appreciate it...Yap yap yap
Jiongeze tuma korosho kuja dar upge miela utakuja kunishukuru uskae kama nyanya kweny tenga kama wenyeji sasa hapo ndy uoneshe utoto wako wa mjin dar unapga deal syo kuliaTangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya Mikindani na ndiyo mjini.
Sikuamini! Mr. akanitia moyo na kuniambia nitazoea mazingira. Nikasema, "Sawa, maadam ni mjini, kitu cha msingi ni huduma."
Tukachukua lodge (na lodge zenyewe maji hayatoki, wanategemea maji ya mvua... yani ni tafrani tupu!). To cut a long story short, maisha ya Mtwara ni magumu kwenye nyanja zote! Maji ni shida, bei ya vitu iko juu sana kuliko hata Dar es Salaam, na miundombinu hafifu inafanya usafiri kuwa wa tabu.
Huduma za kifedha ni chache na ziko mbali, yani kulala au kushinda njaa ukiwa na hela mfukoni ni kitu cha kawaida sana hapa!
Ikifika saa 3 usiku, barabarani ni nyeupe kabisa—huoni mtu, na maduka yanafungwa mapema. Viwanja vipo, lakini The Shooters ndicho kiwanja pekee nilichoelewa, na nikiwa hapo najihisi kama niko Dar es Salaam.
Serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa!
Tangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya Mikindani na ndiyo mjini.
Sikuamini! Mr. akanitia moyo na kuniambia nitazoea mazingira. Nikasema, "Sawa, maadam ni mjini, kitu cha msingi ni huduma."
Tukachukua lodge (na lodge zenyewe maji hayatoki, wanategemea maji ya mvua... yani ni tafrani tupu!). To cut a long story short, maisha ya Mtwara ni magumu kwenye nyanja zote! Maji ni shida, bei ya vitu iko juu sana kuliko hata Dar es Salaam, na miundombinu hafifu inafanya usafiri kuwa wa tabu.
Huduma za kifedha ni chache na ziko mbali, yani kulala au kushinda njaa ukiwa na hela mfukoni ni kitu cha kawaida sana hapa!
Ikifika saa 3 usiku, barabarani ni nyeupe kabisa—huoni mtu, na maduka yanafungwa mapema. Viwanja vipo, lakini The Shooters ndicho kiwanja pekee nilichoelewa, na nikiwa hapo najihisi kama niko Dar es Salaam.
Serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa!
Ntwara kuchele😂😂😂😂😂Tangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya Mikindani na ndiyo mjini.
Sikuamini! Mr. akanitia moyo na kuniambia nitazoea mazingira. Nikasema, "Sawa, maadam ni mjini, kitu cha msingi ni huduma."
Tukachukua lodge (na lodge zenyewe maji hayatoki, wanategemea maji ya mvua... yani ni tafrani tupu!). To cut a long story short, maisha ya Mtwara ni magumu kwenye nyanja zote! Maji ni shida, bei ya vitu iko juu sana kuliko hata Dar es Salaam, na miundombinu hafifu inafanya usafiri kuwa wa tabu.
Huduma za kifedha ni chache na ziko mbali, yani kulala au kushinda njaa ukiwa na hela mfukoni ni kitu cha kawaida sana hapa!
Ikifika saa 3 usiku, barabarani ni nyeupe kabisa—huoni mtu, na maduka yanafungwa mapema. Viwanja vipo, lakini The Shooters ndicho kiwanja pekee nilichoelewa, na nikiwa hapo najihisi kama niko Dar es Salaam.
Serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa!
Nenda SPLASH, MSEMO, OXYGEN, nenda kapate urojo stendi ya zamani, nenda ferry ukale samaki acha kudanganya watu hapa, unless umemis michepuko yako, "waiyoooo, dobi dobi"Tangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya Mikindani na ndiyo mjini.
Sikuamini! Mr. akanitia moyo na kuniambia nitazoea mazingira. Nikasema, "Sawa, maadam ni mjini, kitu cha msingi ni huduma."
Tukachukua lodge (na lodge zenyewe maji hayatoki, wanategemea maji ya mvua... yani ni tafrani tupu!). To cut a long story short, maisha ya Mtwara ni magumu kwenye nyanja zote! Maji ni shida, bei ya vitu iko juu sana kuliko hata Dar es Salaam, na miundombinu hafifu inafanya usafiri kuwa wa tabu.
Huduma za kifedha ni chache na ziko mbali, yani kulala au kushinda njaa ukiwa na hela mfukoni ni kitu cha kawaida sana hapa!
Ikifika saa 3 usiku, barabarani ni nyeupe kabisa—huoni mtu, na maduka yanafungwa mapema. Viwanja vipo, lakini The Shooters ndicho kiwanja pekee nilichoelewa, na nikiwa hapo najihisi kama niko Dar es Salaam.
Serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Noti za huko chakavu!!!
Niliendaga lindi, asee!!! Yaani noti ambayo hata konda wa daladala hapa dar ataikataa kule dukani eti inapokelewa, na chenchi unarudishiwa.
Miji ile sijui watu hawatembei, yaani hela zimechakaa maana yake mzunguko wa hela ni humo humo tu.
Yaani hata ukisimama katikati ya mji wa lindi, ukiamua kurusha jiwe kuelekea upande wowote litadondokea porini.
Yaani kamji kama kiberiti.
Pole sana aisee sisi tulikuwa wengi familia tumeacha Dar, kwa hiyo km sijasafiri tunaenda kule Beach. Tenaa kipindi kile kabla hiyo Patoni ya kwenda msanga mkuu haijafika bado. Tunakula samaki tunarudi home.Inategemea unafanya kazi gani wengine kazi zetu hata siku kuu upo mzigoni..
Mbaye, mdenga namadi, likonde, Salem, ufukoni, railway, mangowela, California, ComoroMjomba mtwara gani unaizungumzia? Umefikia mkanared au chuno mkuu? Daaah umepiga kamba ndefu sana hapa🤣🤣🤣🤣
1.raha leo
2.shangani west
3.magomeni
4.sabasaba
5.posta
6.mbezi beach
7.shangani
8.
9.
Anayepajua mtwara aendelee kuitaja mitaa ya kishua hapo..
Mjomba mtwara gani hiyo miundo mbinu chenga? Dooooh nimesoma hapo miaka miwili mtwara ni mji mzuri sana sana sana tu kuna mitaa kibao bongo haingii kabsa kwa mitaa hiyo niliyoitaja
Kuna siku Hadi unalilia? Nini hiyo unayoililia🤔🤔?Nikipata usafiri wangu ndo ntazoea! Usafiri shida sana huku boda boda unamtafuta kwa Tochi.. muda unamuhitaji akuwaishe Hahaha unampigia anakwambia yupo kwenye mashamba ya chunvi😄 yani ni vioja kuna siku hadi nililia
Fursa ya kwanza ambayo nimeiona maduka ya dawa (pharmacy) ni ya kutafuta ..by the grace of God soon naichangamkia hii fursa
mkuu mungu akitujaalia uzma ntapend tuungane huko kuzchangamkia fulsa, ntakuja pm tuzungmze mana bdo cna mwenyej huk.Fursa ya kwanza ambayo nimeiona maduka ya dawa (pharmacy) ni ya kutafuta ..by the grace of God soon naichangamkia hii fursa
Nahisi uwepo wa wanajeshi wengi kumechangia. Nakumbula kuna mwaka nilitoka Songea kuingia Mtwara na nilikutana na barrier za wanajeshi zaidi ya Moja.Kwa upande mwingine matukio ya uhalifu ni machache ukilinganisha na mikoa mingine.
Amandla...
Samahani sana wadau, kwani humu Kuna walioleft group?!!!!! Mbona sielewi elewi!Noti za huko chakavu!!!
Niliendaga lindi, asee!!! Yaani noti ambayo hata konda wa daladala hapa dar ataikataa kule dukani eti inapokelewa, na chenchi unarudishiwa.
Miji ile sijui watu hawatembei, yaani hela zimechakaa maana yake mzunguko wa hela ni humo humo tu.
Yaani hata ukisimama katikati ya mji wa lindi, ukiamua kurusha jiwe kuelekea upande wowote litadondokea porini.
Yaani kamji kama kiberiti.
Kama sio ke huyo basi atakuwa ameleft group.....ndiyo wenye mapozi ya kinyodonyodo hivi. Mlume ndago wa kweli hawezi kuongea ujinga kama huo. Mtwara sote tunaijuaKusema kwamba hakuna chakula na usafiri ni uongo
hpana mkuu mwenyej wa mby il natman sn chimbo jipya so huw np hum kupata abc za maeneo amby bd yp nyuma kdg ila nwez kuona fulsa..Upo mtwara pia?