Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tembea kwanza uifahamu ndio uje na malalamiko yakoDah🤣🤣
Mjomba mtwara gani unaizungumzia? Umefikia mkanared au chuno mkuu? Daaah umepiga kamba ndefu sana hapa🤣🤣🤣🤣Tangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya Mikindani na ndiyo mjini.
Sikuamini! Mr. akanitia moyo na kuniambia nitazoea mazingira. Nikasema, "Sawa, maadam ni mjini, kitu cha msingi ni huduma."
Tukachukua lodge (na lodge zenyewe maji hayatoki, wanategemea maji ya mvua... yani ni tafrani tupu!). To cut a long story short, maisha ya Mtwara ni magumu kwenye nyanja zote! Maji ni shida, bei ya vitu iko juu sana kuliko hata Dar es Salaam, na miundombinu hafifu inafanya usafiri kuwa wa tabu.
Huduma za kifedha ni chache na ziko mbali, yani kulala au kushinda njaa ukiwa na hela mfukoni ni kitu cha kawaida sana hapa!
Ikifika saa 3 usiku, barabarani ni nyeupe kabisa—huoni mtu, na maduka yanafungwa mapema. Viwanja vipo, lakini The Shooters ndicho kiwanja pekee nilichoelewa, na nikiwa hapo najihisi kama niko Dar es Salaam.
Serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa!
Mkiwa dar mkiambiwa Tz ni kubwa hamuelewiTangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya Mikindani na ndiyo mjini.
Sikuamini! Mr. akanitia moyo na kuniambia nitazoea mazingira. Nikasema, "Sawa, maadam ni mjini, kitu cha msingi ni huduma."
Tukachukua lodge (na lodge zenyewe maji hayatoki, wanategemea maji ya mvua... yani ni tafrani tupu!). To cut a long story short, maisha ya Mtwara ni magumu kwenye nyanja zote! Maji ni shida, bei ya vitu iko juu sana kuliko hata Dar es Salaam, na miundombinu hafifu inafanya usafiri kuwa wa tabu.
Huduma za kifedha ni chache na ziko mbali, yani kulala au kushinda njaa ukiwa na hela mfukoni ni kitu cha kawaida sana hapa!
Ikifika saa 3 usiku, barabarani ni nyeupe kabisa—huoni mtu, na maduka yanafungwa mapema. Viwanja vipo, lakini The Shooters ndicho kiwanja pekee nilichoelewa, na nikiwa hapo najihisi kama niko Dar es Salaam.
Serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa!
Nasikia huko korosho ndiyo inalipa zaidi, lazima nije siwezi potezea.Namna hiyo.,.uje ulime shamba lako kubwa.
Huelewi hata kinachozungumziwa unandandia gari kwa mbele tyuMjomba mtwara gani unaizungumzia? Umefikia mkanared au chuno mkuu? Daaah umepiga kamba ndefu sana hapa🤣🤣🤣🤣
1.raha leo
2.shangani west
3.magomeni
4.sabasaba
5.posta
6.mbezi beach
7.shangani
8.
9.
Anayepajua mtwara aendelee kuitaja mitaa ya kishua hapo..
Mjomba mtwara gani hiyo miundo mbinu chenga? Dooooh nimesoma hapo miaka miwili mtwara ni mji mzuri sana sana sana tu kuna mitaa kibao bongo haingii kabsa kwa mitaa hiyo niliyoitaja
Mbona huwa tunaambiwa "Ntwara kuchele"?Kumbe ni urongo wa rejareja?Tangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya Mikindani na ndiyo mjini.
Sikuamini! Mr. akanitia moyo na kuniambia nitazoea mazingira. Nikasema, "Sawa, maadam ni mjini, kitu cha msingi ni huduma."
Tukachukua lodge (na lodge zenyewe maji hayatoki, wanategemea maji ya mvua... yani ni tafrani tupu!). To cut a long story short, maisha ya Mtwara ni magumu kwenye nyanja zote! Maji ni shida, bei ya vitu iko juu sana kuliko hata Dar es Salaam, na miundombinu hafifu inafanya usafiri kuwa wa tabu.
Huduma za kifedha ni chache na ziko mbali, yani kulala au kushinda njaa ukiwa na hela mfukoni ni kitu cha kawaida sana hapa!
Ikifika saa 3 usiku, barabarani ni nyeupe kabisa—huoni mtu, na maduka yanafungwa mapema. Viwanja vipo, lakini The Shooters ndicho kiwanja pekee nilichoelewa, na nikiwa hapo najihisi kama niko Dar es Salaam.
Serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa!
Unamuacha kwanza akishampata mmakonde mmoja ataisifia tuVingi alivyosema ni uongo tatizo lake haijui mtwara na hajatembea, eti anasema hadi huduma za kifedha ni shida!. Huyu alikuja na dar es salaam yake kichwani
Dah pole sana😄Mie nipo wilaya ya Newala huku umeme unaweza kukaa siku hadi tatu hujauona na hakuna taarifa yeyote. Making wanategemea ya mvua kwenye kisima kwakweli huu mkoa kama sio Tanzania kama huamini tembelea siku moja ujionee
Nimekuelewa sana, ndomana nikawataka wanaoijua mtwara waje wakusogezee majibu ya hayo unayolalamika, hiyo mitaa niliyotaja ni full package, maji, umeme, usafiri, usalama, vituo vya afya in brief huduma zote za kijamii mtwara sio za kubabaisha, haswa hayo uliyoyalalamika ni kamba kabisa, mtwara maji ni mengi sana usafiri sio tatz kabsa..Huelewi hata kinachozungumziwa unandandia gari kwa mbele tyu
Wachwa weee!Mbona hadi kuna redio "Claus Kinkel" nasikia?Kumepoa kama mkojo wa ngedere,,sjui huko masasi patakuwaje kama mjini ndo pako hivi🤣
Well said!Nyamwi255 uliosema mengi ni ya ukweli, mimi nilikaq huko 2012 hadi 2017 aiseee. Nilikuchukia sana ila unda connection na watu miye Enzi zile ndizi hazikuwepo sana. Kwa hiyo zikifika wale wauzaji walikuwa wanaleta ofisini kwangu. Pia matunda hayakuwepo utafika sokoni unaona lipo tupu kabisa Zaidi ya samaki wakavi basi.
Alafu kuna kipindi hakuna chalula kingine zaidi unga wa mahindi, Michele, na ngano basiiii.
Umepanga wapi? wewe miye nilikuwa nakaa hapo Ligula B dakika 5 tuu mpaka ofisini kwangu.