Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

Nimekuelewa sana, ndomana nikawataka wanaoijua mtwara waje wakusogezee majibu ya hayo unayolalamika, hiyo mitaa niliyotaja ni full package, maji, umeme, usafiri, usalama, vituo vya afya in brief huduma zote za kijamii mtwara sio za kubabaisha, haswa hayo uliyoyalalamika ni kamba kabisa, mtwara maji ni mengi sana usafiri sio tatz kabsa..
Kabla sjafika mtwara nilkuwa nadhania ni sehem ya ovyo sana, na hata selection yang ilipotoka niende mtwara nilichukia sana.. but suddenly my hate turned into deep love with the city baada tu ya kukanyaga huo mji..
Ama kweli ntu chake
 
Mjomba mtwara gani unaizungumzia? Umefikia mkanared au chuno mkuu? Daaah umepiga kamba ndefu sana hapa🤣🤣🤣🤣
1.raha leo
2.shangani west
3.magomeni
4.sabasaba
5.posta
6.mbezi beach
7.shangani
8.
9.

Anayepajua mtwara aendelee kuitaja mitaa ya kishua hapo..
Mjomba mtwara gani hiyo miundo mbinu chenga? Dooooh nimesoma hapo miaka miwili mtwara ni mji mzuri sana sana sana tu kuna mitaa kibao bongo haingii kabsa kwa mitaa hiyo niliyoitaja
Chuno
Mitengo
Mji mpya
Kwa mkuu wa mkoa
 
hama huko chikingola. nenda kapange shangani au kule ilipo Hospitali ya rufaa. na kama unataka vitu bei rahis sokon sabasaba mbona full ti ma jodar kole kole feri kibao tu. au wewe umeajiriwa kada gan unalia lia . maji ya mvua kweli yanatumika
Hawezi kuamka morng kwenda sababa uyo now nasikia kuna soko jipya la chuno
 
Mie nipo wilaya ya Newala huku umeme unaweza kukaa siku hadi tatu hujauona na hakuna taarifa yeyote. Maji hakuna wanategemea maji ya mvua kwenye visima kwakweli huu mkoa kama sio Tanzania kama huamini tembelea siku moja ujionee. Mkoa huu kuishi ni kazi sana serikali imeususa na hakuna wa kuitetea
Wilayan swa ila sio mjini
 
Nyamwi255 uliosema mengi ni ya ukweli, mimi nilikaq huko 2012 hadi 2017 aiseee. Nilikuchukia sana ila unda connection na watu miye Enzi zile ndizi hazikuwepo sana. Kwa hiyo zikifika wale wauzaji walikuwa wanaleta ofisini kwangu. Pia matunda hayakuwepo utafika sokoni unaona lipo tupu kabisa Zaidi ya samaki wakavi basi.
Alafu kuna kipindi hakuna chalula kingine zaidi unga wa mahindi, Michele, na ngano basiiii.
Umepanga wapi? wewe miye nilikuwa nakaa hapo Ligula B dakika 5 tuu mpaka ofisini kwangu.
Kwa kipindi hicho sehemu yangu ya kula marufu ilikuwa pale mnarani (roundabout)
Uongo bhna uhuu 2012 up 2017 unakumbuka machafuko ya gesi ulikuwepo?
 
Ulitaka serikali iendeshe magari ikifika saa tatu, au ulitaka watu wakopwe magari wayaendeshe.
Ulitaka serikali itengeneze bar.
Ifungue migahawa na wakala wa pesa.
Ilhali ww umeona mji haujachangamka.
Tulia hapo wenzako watakuja na patakua kama dsm siku moja.
 
Uongo bhna uhuu 2012 up 2017 unakumbuka machafuko ya gesi ulikuwepo?
Sasa uongo.wangu nini unataka nikutajie ofisi? Au nikupe nikambulisho siyo. Acha dharau hatujuani pita kule. Wakati Hawa Ghasia Amefiwa na mzee wake ulikuwepo tulipokwenda kuzika na polisi.
 
Back
Top Bottom