Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Sawa Mwalimu wa Hisabati utazoea tuPicha inaanza wakati nakuja kuripoti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Mwalimu wa Hisabati utazoea tuPicha inaanza wakati nakuja kuripoti
Kwahio umepangiwa mtwara ile interview ya o lever ulitoboa😹😹Tangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya Mikindani na ndiyo mjini.
Sikuamini! Mr. akanitia moyo na kuniambia nitazoea mazingira. Nikasema, "Sawa, maadam ni mjini, kitu cha msingi ni huduma."
Tukachukua lodge (na lodge zenyewe maji hayatoki, wanategemea maji ya mvua... yani ni tafrani tupu!). To cut a long story short, maisha ya Mtwara ni magumu kwenye nyanja zote! Maji ni shida, bei ya vitu iko juu sana kuliko hata Dar es Salaam, na miundombinu hafifu inafanya usafiri kuwa wa tabu.
Huduma za kifedha ni chache na ziko mbali, yani kulala au kushinda njaa ukiwa na hela mfukoni ni kitu cha kawaida sana hapa!
Ikifika saa 3 usiku, barabarani ni nyeupe kabisa—huoni mtu, na maduka yanafungwa mapema. Viwanja vipo, lakini The Shooters ndicho kiwanja pekee nilichoelewa, na nikiwa hapo najihisi kama niko Dar es Salaam.
Serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa!
Oya huyu ni demu😹😹Unachakata watoto wakimakonde
Hongera mtwara hadi hewa ni ya chumviYeah nilitoboa bana🤣
Doktari? Au Nesi?Kumradhi mimi sio mwalimu!
Kumbe ni demuOya huyu ni demu😹😹
Huyo mwamba ni demu ni men?Hongera mtwara hadi hewa ni ya chumvi
Mtoa uzi ni demuHuyo mwamba ni demu ni men?
Mkuu Dar ipo tofauti sana na mikoa yote ya Tanzania Mainland.Mikoa yote inafanana Tu kama Akili yako umeipanga izoee mazingira utaweza kuishi popote
Unataka uishi kama upo DAR hapo ni kujidanganya, TANZANIA bado Sana hasa Huko mikoani hata hiyo DAR nayo imechoka sanaa sioni utofauti na mikoani tu
Oyawee nilijua ni men kumbe ni manziMtoa uzi ni demu
Dar ni nyoko biashara 24 hrs watu hawalali hata uamke 9 usiku unapata chochote unachotaka hata bucha la nyama lipo waziMkuu Dar ipo tofauti sana na mikoa yote ya Tanzania Mainland.
Tatizo la Nyamwi255 anataka mkoani apate maisha ya Dar.
Mwanza, Arusha, Unguja, Moshi, Mtwara, Shinyanga, na miji mingi iliyobaki kwa huduma fasta na za kisasa hadi usiku mwingi kote huko hazijafikia kiwango cha Dar.
Dodoma wanajaribu lakini bado kijijini tu.
Dar hadi vichochoroni kabisa nje ya mji (suburbs) usafiri, chakula, duka za dawa, na sehemu za starehe almost zinakesha.
Mkuu Dar ipo tofauti sana na mikoa yote ya Tanzania Mainland.Mikoa yote inafanana Tu kama Akili yako umeipanga izoee mazingira utaweza kuishi popote
Unataka uishi kama upo DAR hapo ni kujidanganya, TANZANIA bado Sana hasa Huko mikoani hata hiyo DAR nayo imechoka sanaa sioni utofauti na mikoani tu
Nataka nkiwa mkoani mjini yani manispaa nipate huduma kama za dar (na sio kama nataka ni ndo inavotakiwa)Tatizo la Nyamwi255 anataka mkoani apate maisha ya Dar.
Viongozi huko wanajua kujenga misikiti tu 90% ya watu wa Mtwara ni watu wa upande ule wa FaizaFoxy na Malaria 2Nataka nkiwa mkoani mjini yani manispaa nipate huduma kama za dar (na sio kama nataka ni ndo inavotakiwa)
Kama hapa nipo mjini manispaa kabisa hali iko hivi haya huko kijijini itakuwaje??
Hapo utakuwa umenielewa kama ww ni muelewa.