Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

Huna hela acha kujilizaliza.Huko kuna sehemu nyingi tu zenye huduma nzuri.
Binafsi mimi napenda mkoa wenye ziwa au uliopakana na bahari.Hii mikoa mingine ni taka taka nachukia kukaa mwaka wote sijabarizi.šŸ˜Ž
huna akili
 
Ila Mtwara mwanaume anaowa mke hata km ana watoto Sita. Yeye anapenda boga na uwa lake kwa hilo.wapo juuu sana wale watu.
Pia hospital asubuhi mnatembelewa na wale waliotoka swala ya Alfajiri. Wanakuja na uji na chai vitafunio maandazi/vitumbua. Na wale wasiokuwa na uwezo vyeti vinachukuliwa mnaletewa dawa.
Niliumwa nililazwa Ligula nilifarijika sana kwa ule ungwana wao aisee.
Kwa hayo chukueni mauwa yenu aiseee.
 
Inawezekana. Lakini kwa asili wenyeji wa kule ni watu poa. Wageni ndio wanawaharibia.

Amandla...
Sio bure walinzi wa wazungu wengi walikuwa watu kutoka maeneo hayo. Hawakuwa na mchezo na wahalifu. Walioharibika, wameharibiwa na wengine.

Amandla...
 
Noti za huko chakavu!!!

Niliendaga lindi, asee!!! Yaani noti ambayo hata konda wa daladala hapa dar ataikataa kule dukani eti inapokelewa, na chenchi unarudishiwa.

Miji ile sijui watu hawatembei, yaani hela zimechakaa maana yake mzunguko wa hela ni humo humo tu.

Yaani hata ukisimama katikati ya mji wa lindi, ukiamua kurusha jiwe kuelekea upande wowote litadondokea porini.

Yaani kamji kama kiberiti.
Mjini si ni pale stendi au kuna mji mwingine
 
Mimi nimeshafika sana huko kanda ya ziwa yote na sio kila msukuma ana ng'ombe....njoo huku vijiji vya kilwa uone wasukuma tunavyowapa kula maua ya ufuta kwa bei ya 1000 kwa kilo hiyo yote ni kutokana na umaskini wao
Wasukuma wameanza kuingia Lindi kwa wingi ni baada ya Operation ya kuwaondoa bonde la usangu 2006 wengi ni wale wenye makundi makubwa ya ng'ombe..ieo hata ukifika kuanzia ikwilriri, Muhoro hadi Somanga kumechangamka sabaau ya uwepo wa wasukuma wafugaji.. mimi huwezi kuniambia habari za kusini mke wa kwanza nimeolea Umakuani na mwingine nimeoa Mmakonde wa Masasi..na hapo Luangwa kuna Mdogo wangu anamiliki Y2K Pub na Mining Cruisher kule Migodini.. umasikini wa kusini naujua vrzuri mno..
 
Mmakonde wa masasi šŸ˜†šŸ˜†sijawahi kusikia wala kuona .... hebu tuje kwenye point haya tuanze umaskini wa watu wa kusini unaupimaje?
 
Ila Mtwara mwanaume anaowa mke hata km ana watoto Sita. Yeye anapenda boga na uwa lake kwa hilo.wapo juuu sana wale watu.
Pia hospital asubuhi mnatembelewa na wale waliotoka swala ya Alfajiri. Wanakuja na uji na chai vitafunio maandazi/vitumbua. Na wale wasiokuwa na uwezo vyeti vinachukuliwa mnaletewa dawa.
Niliumwa nililazwa Ligula nilifarijika sana kwa ule ungwana wao aisee.
Kwa hayo chukueni mauwa yenu aiseee.
Mwaka gani ilikuwa! Mbona sija experience hicho kitu!.na niko ligula?
 
Sasa wewe fanya kununua boda boda umpe kijana wa hapo kwanza itakuwa inakuingizia pesa lakini wewe ndio boss kwa hivyo utakuwa umesolve tatizo la usafiri.
 
Sasa wewe fanya kununua boda boda umpe kijana wa hapo kwanza itakuwa inakuingizia pesa lakini wewe ndio boss kwa hivyo utakuwa umesolve tatizo la usafiri.
Ni wazo Zuri..ila mkuu vijana wa huku wana umwinyi sana! Hiyo boda inaweza hata isikuingizie hela kama ulivotarajia! Wanafanya kazi kwa kujiskia
 
Mimi naungana na shemeji kusema ā€œutazoea tuā€. Itakuchukua muda ila kuna siku utashangaa umeshapazoea kabisa.
Uko sahihi kabisa,huo ni ugeni tu,iko siku anaweza hata kujikuta yuko katikati ya umati anacheza ngoma,na akiambiwa rudi Dar atagoma,hapo ukute keshapata na kiwanja,kafungua na kishop somewhere,kapewa na shamba atakuwa anajiona maisha kayapatiaa...
 
Back
Top Bottom