Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli aliua mikoa mingi sana sana kwa kupendelea DAR, MWANZA na DODOMA. Kama Kikwete angeendelea kuwa Raus basi Mikoa Mingi sana ingekuwa Mbali sana kimaendeleo.Mtwara ingeishaga kuwa jiji kubwa siku nyingi tu, sijui ni kwa nini huo mji haukui wakati una vichocheo na mvuto wa kuwa jiji kubwa kusini mwa Tanzania
Siku ukifika Bima nicheki nikupe kampani. Ila kufika na kufika tu mjini hapa tayari unayajua maeneo ya kihuni, kweli mji utauona mchungu.Sijaona uziri wake
Changamoto zako za kimaisha unazopitia zisikufanye ulete makasiriko yako hapa! Wapi kweny bandiko langu nimesema natoka loyal family??Utamuweza mtoa mada nahisi lengo ni kuonekana ni loyal family
Matus yanatoka wapiChangamoto zako za kimaisha unazopitia zisikufanye ulete makasiriko yako hapa! Wapi kweny bandiko langu nimesema natoka loyal family??
Yani mm kueleza changamoto nilizokutana nazo ndo naonekana natoka loyal family!huna akili!
Mkuu unaishi Mtaa gani huko Mtwara kwenye Shida hizo??Maji yanatoka ila ni ya shida sasa unabisha nini mkuu!! Maji yenyewe yamejaa chunvi koo!
Sometime unarudi kazini usiku like saa 3 kama huna cha kupika ndani huwezi pata chakula hata cha kununua..
Sawa niliongelea stand malalamiko yako na yangu unaona sawa?Matusi yako wapi? Hivi unajiona upo sawa!! Kiakili!!
Bro ogopa mungu na techonolojia😄
Yani unajitekenya na kucheka mwenyewe! Unapiga ngoma na unaicheza mwenyewe!
sitaki kubishana na ww akili hunaView attachment 3234968
Dar unakotoa pesa kwa wakala saa 7 usiku ni wapi kwa huku mitaani?Kaka hao hawako Mtwara, siku moja mimi niko shooters siku ya mwaka mpya eti nataka kutoa hela hamna vibanda vya Mpesa usiku saa7 ilinilazimu nitoke na boda 3k mpaka roundabout ya mnada wa mbuzi huku ndo nitoe hela maana haikuwa benki ilikuwa wenye simu. Yaani nilikuwa natukana njia nzima kudadeq Mtwara jau kinoma [emoji23]
Jua kufatofautisha vituNa kwanni ulalamike? Wakati kwa mujibu wako unasema umezoea shida na unweza kuishi sehem yoyote🤣
Bro you need therapy
Swala la stend iyo ni ata wakazi wenyewe wanalalamika kwahy wewe shida ulizo zibainisha hapo si umeona wengine pia wanakataa kuwa huduma zipo na zina patikana? Njoo na changamoto ambayo wote wanaiona ni changamotoNa kwanni ulalamike? Wakati kwa mujibu wako unasema umezoea shida na unweza kuishi sehem yoyote🤣
Bro you need therapy
Na waliokubaliana na mm wote tunatoka loyal familia?Swala la stend iyo ni ata wakazi wenyewe wanalalamika kwahy wewe shida ulizo zibainisha hapo si umeona wengine pia wanakataa kuwa huduma zipo na zina patikana? Njoo na changamoto ambayo wote wanaiona ni changamoto
Kuna sociol proble
that involve large no of people
Individual problem hii ina muhusisha mtu binafsi kama wewe na sio wote
Swala la stendi hiyo ni social problem kwa pale maana watu wote kilio chao kikubwa ni stendi vingi vimeboreshwa
Siyo dem ni kidume hicho ww jichanganye😃Oya huyu ni demu😹😹
Habar za mwamko brother nyamwiSawa nipe mama yako basi nimshughulikie