Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

Mtwara ingeishaga kuwa jiji kubwa siku nyingi tu, sijui ni kwa nini huo mji haukui wakati una vichocheo na mvuto wa kuwa jiji kubwa kusini mwa Tanzania
Magufuli aliua mikoa mingi sana sana kwa kupendelea DAR, MWANZA na DODOMA. Kama Kikwete angeendelea kuwa Raus basi Mikoa Mingi sana ingekuwa Mbali sana kimaendeleo.
 
Utamuweza mtoa mada nahisi lengo ni kuonekana ni loyal family
Changamoto zako za kimaisha unazopitia zisikufanye ulete makasiriko yako hapa! Wapi kweny bandiko langu nimesema natoka loyal family??
Yani mm kueleza changamoto nilizokutana nazo ndo naonekana natoka loyal family!huna akili!
 
Matus yanatoka wapi
 
Maji yanatoka ila ni ya shida sasa unabisha nini mkuu!! Maji yenyewe yamejaa chunvi koo!
Sometime unarudi kazini usiku like saa 3 kama huna cha kupika ndani huwezi pata chakula hata cha kununua..
Mkuu unaishi Mtaa gani huko Mtwara kwenye Shida hizo??
 
Matusi yako wapi? Hivi unajiona upo sawa!! Kiakili!!
Bro ogopa mungu na techonolojia😄

Matus yanatoka wapi
Yani unajitekenya na kucheka mwenyewe! Unapiga ngoma na unaicheza mwenyewe!
sitaki kubishana na ww akili huna
Screenshot_20250213_093046_Chrome.jpg
 
Kaka hao hawako Mtwara, siku moja mimi niko shooters siku ya mwaka mpya eti nataka kutoa hela hamna vibanda vya Mpesa usiku saa7 ilinilazimu nitoke na boda 3k mpaka roundabout ya mnada wa mbuzi huku ndo nitoe hela maana haikuwa benki ilikuwa wenye simu. Yaani nilikuwa natukana njia nzima kudadeq Mtwara jau kinoma [emoji23]
Dar unakotoa pesa kwa wakala saa 7 usiku ni wapi kwa huku mitaani?
 
Na kwanni ulalamike? Wakati kwa mujibu wako unasema umezoea shida na unweza kuishi sehem yoyote🤣
Bro you need therapy
Swala la stend iyo ni ata wakazi wenyewe wanalalamika kwahy wewe shida ulizo zibainisha hapo si umeona wengine pia wanakataa kuwa huduma zipo na zina patikana? Njoo na changamoto ambayo wote wanaiona ni changamoto

Kuna sociol proble
that involve large no of people

Individual problem hii ina muhusisha mtu binafsi kama wewe na sio wote

Swala la stendi hiyo ni social problem kwa pale maana watu wote kilio chao kikubwa ni stendi vingi vimeboreshwa
 
Na waliokubaliana na mm wote tunatoka loyal familia?
Hiyo personal problem ambayo nimeianisha ni ipi?
Kila mtu ana perception zake na namna ya upokeaji wa matatizo, ww kama umezizoea/ ulizizoea changamoto za huku isiwe kigezo cha kukaza shingo!
Na kujifanya unajua kila kitu! kama unakuja na unafikia hotelini huwezi elewa bandiko langu!
 
Back
Top Bottom