Seawhale
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,477
- 1,668
Panaitwa Jeshini, pamekuwa na jina kubwa kibiashara ila kwa uzuri wa mazingira ya beach, Makonde beach ndiyo pazuri.Hahaha..hivi kule kwa wajeda panaitwaje jina limenitoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Panaitwa Jeshini, pamekuwa na jina kubwa kibiashara ila kwa uzuri wa mazingira ya beach, Makonde beach ndiyo pazuri.Hahaha..hivi kule kwa wajeda panaitwaje jina limenitoka
Kule kwa wajeda hakuna fujoPanaitwa Jeshini, pamekuwa na jina kubwa kibiashara ila kwa uzuri wa mazingira ya beach, Makonde beach ndiyo pazuri.
Mimba sioDjango Doer tangu upate vichefuchefu na kutapika asubuhi hupendi kuanzia watu hadi vitu.😎
Naam!Maana amemwaga dislikes kama gunia tisa hivi.Mimba sio
Sasa mbona hafumbi macho aombewe hata ubwabwa tu?Tumsamehe tu Mimba changa inasumbua akili hadi mwili
Atulie tuli asitikisike aandaliwe juisi ya bamia kwa matembele.Anataka matikiti ya kuchemsha
Valentine inamwendea vbaya kabisa hiii 😄Haha Jamaa ana makasiriko pro max
Wakati nipo huko ilikuwa sehemu moja tuuu wanauza hayo maji.Bado upo, tena lately ni biashara ambayo ipo almost kila mtaa.
Ndo ukweli wenyewe mkuuAcha utani mbagara pamechangamka Sana usafiri ni 24 hrs
Hapo sawa zoea zoea mazingira nikija uwe mwenyeji wangu, maana sijawahi fika huko.Haha et nchanga..ni kweli hata hivyo nshaanza kusogea hadi mingo'oko nakula😁
Jiji la mnyarukolo.Hahaha! karibu!sijui unatokea wapi..?