Nipo mwambao wa Ziwa Tanganyika, uliza chochote kuhusu Kigoma utajibiwa

Kigoma Region Tanzania

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
230
Reaction score
611
Mwitongo hotel, Kigoma, Tanzania



Karibuni Kigoma,
Mkoa wa Kigoma uko magharibi mwa. Umepakana na Burundi na Mkoa wa Kagera upande wa Kaskazini, mikoa ya Shinyanga na Tabora upande wa mashariki na Mkoa wa Rukwa upande wa kusini. Magharibi umepakana na Ziwa Tanganyika penye mpaka na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.



Uliza chochote kuhusu Kigoma, utajibiwa.
 
Tupe tofauti ya Ikola na Karema na pilikapilika zake
 
Uchawi wa kujigeuza mamba unauzwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…