Nipo na mawazo kibao, nimetembea na binti mwenye HIV

Nipo na mawazo kibao, nimetembea na binti mwenye HIV

Nimemshawish amekubali kasema twende Ijumaa
Mkapime naye wote ili iweje? Unataka kumuoa?

Ila hii nchi ina vijana wa ajabu sana na unaeza kuta mtoa mada si kijana ni mtu over 40 kabisa.

Yaani umchukue mtu ukapime naye HIV simply ujiridhishe kwamba hajakuambukiza kwani ulitombana naye kavu hivi karibuni.

Embu jali afya yako wewe mwenyewe kama kujipima kajipime mwenyewe na uchukue tahadhari manake inaonekana hujijali na una mawazo ya kitoto.
Sasa ukienda naye huko Kwenye vipimo mkipimwa ikionekana anao ndio utafanyaje sasa
 
Nipo kwenyepepe
Tayari mkuu nikeanza Leo satatu asubuh
 
Mkapime naye wote ili iweje? Unataka kumuoa?

Ila hii nchi ina vijana wa ajabu sana na unaeza kuta mtoa mada si kijana ni mtu over 40 kabisa.

Yaani umchukue mtu ukapime naye HIV simply ujiridhishe kwamba hajakuambukiza kwani ulitombana naye kavu hivi karibuni.

Embu jali afya yako wewe mwenyewe kama kujipima kajipime mwenyewe na uchukue tahadhari manake inaonekana hujijali na una mawazo ya kitoto.
Sasa ukienda naye huko Kwenye vipimo mkipimwa ikionekana anao ndio utafanyaje sasa
kuhakiki.
 
Kuna vipimo vya kununua dukani ,unajipima .

Kama kijana pole Sana Ila usiwekeze kwenye ngono na pombe kiasi cha kupata madhara uwe unaishi mjini au kijijini Afya ndo mtaji namba moja ili kutimiza malengo yako.

Ikiwa utajikuta upo safe ,usi-entertain ngono katika maisha yako. Wala pombe .

Be smart
Embrace the cleanest lifestyle
 
Ndani ya nafsi yako unasema ukipita salama unaacha kabisa zinaa,ila ni kitu hakiwezekani
Na una hakika kiasi gani na taarifa uliyopewa?
Nimewahi kupitia hali kama yako na nikapewa taarifa hizo hizo ila nilikaa nikatulia na nikaendelea na shuhuli zangu japo nilipata mawazo mengi ila hakukuwa na ukweli wowote juu ya nilichoambiwa,zaidi tu umapepe wa yule mwanamke ndio ulimfanya jamaa aniambie yule manzi ana moto,
Usiamini saana ulichoambiwa labda aliekupa taarifa hiyo anaishi nae,au wanameza wote dawa,ama kaambiwa na mhusika mwenyewe.
Unless otherwise kama ushatumia pep,relax endelea na maisha
 
I'm stressed, issue ipo hivi juzi Christmas mida ya saa tatu usiku, Kuna mrembo aliingia room kwangu kama kawaida si mnajua ujana huu nikapiga show fresh mtoto akarudi kwako.
Sasa Jana mida ya jioni napata taarifa kuwa yule demu yupo kwenye dose ya Arv inshort she is HIV positive, nirivurugwa sana.

Leo asubuhi nimeamkia kituo Cha afya Nika waeleza scenerio nzima daktari kasema kuwa nipo within 72 of exposure kanipa madawa yanaitwa ltd kuwa yatazuis iyo HIV kama ipo..

But before kunipa nilipima nikawa negative.

I'm stressed sijui hizi siku 28 za dose zikiisha itakuwaje.
Vizuri umechukua hatua ila wabongo kwa kuwapa hiv wenzao hawajambo. Mimi kuna watu kibao toka mtoto wanasemekana wana HIV sasa nimekua mtu mzima nina hadi watoto wapo na afya tele.
Hata mimi niliwahi pita na binti fulani siku moja nimekaa mahala nasikia wanasema ana hiv yani wanamkandia kinoma. Niliogopa nikaenda kupima ilikuwa ishapita miezi kama 5 nikawa niko safi tu.
 
I'm stressed, issue ipo hivi juzi Christmas mida ya saa tatu usiku, Kuna mrembo aliingia room kwangu kama kawaida si mnajua ujana huu nikapiga show fresh mtoto akarudi kwako.
Sasa Jana mida ya jioni napata taarifa kuwa yule demu yupo kwenye dose ya Arv inshort she is HIV positive, nirivurugwa sana.

Leo asubuhi nimeamkia kituo Cha afya Nika waeleza scenerio nzima daktari kasema kuwa nipo within 72 of exposure kanipa madawa yanaitwa ltd kuwa yatazuis iyo HIV kama ipo..

But before kunipa nilipima nikawa negative.

I'm stressed sijui hizi siku 28 za dose zikiisha itakuwaje.

Acha zinaa kijana
 
My nigga, stress unayohisi unayo n cha mtoto compared to stress utakayopata ukianza kumeza PEP.
Nahisi hizo dawa ziliwekwa makusudi kukomesha uzembe kwenye ngono n.k.
Mapicha picha utakayoona kipimdi chote cha kumeza hizo vidonge, nakuapia utakua unavaa condom iliotengenezwa na kitambaa ya turubai.
Sikutishi, lakn bora nikwambie mapema tu.
True, ni kisanga hizi PEP, nakumbuka sikumalizaga dozi nikasema liwalo na liwe. Nilikaa bila kupima miaka 3 watu wakiniambia nanenepa nasema afadhali itakuwa sikunasa mpaka dada mmoja aligoma kutumia kinga akataka tupime ndio ikabidi niende maana nilikuwa namuhusudu sana. Ila nilipima peke angu kwanza then nikaenda nae
 
Mkuu,
Tupate burudani kidogo..

TMK WANAUME FAMILY_ CHAI LYRICS

Chorus

Si ulitaka chai, chai
Iweje ulalamike una ungua?
Kuwa mwangalifu, msikivu, mwerevu
Ukipenda sana ngono, itakuua...
Si ulitaka Isshh...haaa!
Iweje ulalamike una ungua?
Kuwa mwangalifu, msikivu, mwerevu
Ukipenda sana ngono, itakuua...

Verse 1:
Umepata chai, halafu unalalamika ya moto
Wakati mwenyewe...
Umenunua kwa (?)
Unalalamika nini? wakati kila siku ulikuwa una ona matangazo kwenye "screen" ya "tea" kwenye T.V
Chai ina babua' makini usipokuwa
Ati! unakunywa, tukutukutuku...! (bila...!) bila kupooza
Una tegemea nini' kama sio cha kupunguza
(?)
Sana sana sehemu za baridi, tuwe' makini' ikibidi
Najua utataka blanket na shuka' wacha kukurupuka ah
Mapenzi haramu haramu' mwisho wake futi sita shimoni. aight!
Luteni (?)
"Ni Home Boyz Produkshizoo

Chorus

Verse 2:

Ulimwona anafaa, ukamwita kifaa (Enhee!)
Sasa ndugu yangu wewe, ushau pakaa (Ayaa!)
Kwani hukujua kwamba dunia ni hadaa, na ulimwengu ni shujaa?
Oh Mara unalalamika washikaji wana ni nyanyapa (Aaaah!)
Si kama nakusema...sababu washikaji walisha kuambia toka mapema...(Ndio ndio)
Kwamba dunia kaka' haiendi hivyo' ipo siku utajitafutia matatizo (Sanaa...)
Haya sasa, miwaya sasa
Ona unavyokuwa marehemu mtarajiwa sasa (Ayaah!)
Sebastian Ndege unajitahidi sana...wenzio masikio wametia pamba (Kweli)
Wanaona ni hadithi tu wanayopewa na God Mwalusamba
Wanatupa (?) wanakwenda kwenda (?)
Yaani wanavyo fanya
Utasema kondomu hakuna..

Chorus

Verse 3:

Anaonekana anabisha' wakati vipimo vilisha tuonesha
Na baadhi ya ndugu zao walisha hakikisha
Kila ukimtizama' ana sikitisha
(?) alicho nacho sasa kimekwisha
Miwaya imesha mu (?) wadudu washapenya
Zake ni kupiga chai kavu, ushauri wa madaktari aliona kama upumbavu
Alisha gawa sotojo kwa watoto wadogo na kina baba' watu wazima
(?) inatapakaa mwili mzima

Chorus

Verse 4
Ai! ai!
Kweli chai inachoma hii bwana, kweli ina moto, puliza!
(Pff! pff!)
Usi ifakamie vibaya,uje uungue, Yalaaa...!
(Usi ifakamie vibaya, uje uungue, Yalaaa...!)
Usijifanye unafahamu sana, eti kuwa ni tamu tamu tamu tamu mpaka kichogoni
Najua huwezi kuniita mimi' kama huna ulimi
Ukae ukijua ukiwa na ukimwi ni sawa na jini' ndo maana hujificha mwilini
Ushangai kwanini utuue wewe na mimi (Ndio!)
Mgonjwa hakatai dawa, akikataa ashaiandaa kaburi
Pombe haipunguzi mawazo, siku zote huwaga ndo chanzo
Starehe ni mtego wa shetani ameutega duniani (Ndio!)
Rafiki yangu Josefu analalamika eti amelogwa' kulogwa gani, unakonda, mwili unatoka vidonda...hiyo bwana itakuwa ni ngoma
Nshangaza (?) na ndo maana naogopa kufanya
Kulewa lewa nyaka nyaka
Kuchinja (?) ovyo kwenye vichaka
Dunia inachoma moto, inachoma, inachoma, inachoma, inachoma, inachoma, kweli inachoma moto
Wazazi, watoto muwa kanye, na nyie pia msifanye
 
Kuna vipimo vya kununua dukani ,unajipima .

Kama kijana pole Sana Ila usiwekeze kwenye ngono na pombe kiasi cha kupata madhara uwe unaishi mjini au kijijini Afya ndo mtaji namba moja ili kutimiza malengo yako.

Ikiwa utajikuta upo safe ,usi-entertain ngono katika maisha yako. Wala pombe .

Be smart
Embrace the cleanest lifestyle
Mkuu,

Hapo kwenye pombe naomba ufafanuzi Dr. Hayaland
maana wengine unywaji wao ni for relaxation purposes
 
Back
Top Bottom