Nipo na mawazo kibao, nimetembea na binti mwenye HIV

Nipo na mawazo kibao, nimetembea na binti mwenye HIV

I'm stressed, issue ipo hivi juzi Christmas mida ya saa tatu usiku, Kuna mrembo aliingia room kwangu kama kawaida si mnajua ujana huu nikapiga show fresh mtoto akarudi kwako.
Sasa Jana mida ya jioni napata taarifa kuwa yule demu yupo kwenye dose ya Arv inshort she is HIV positive, nirivurugwa sana.

Leo asubuhi nimeamkia kituo Cha afya Nika waeleza scenerio nzima daktari kasema kuwa nipo within 72 of exposure kanipa madawa yanaitwa ltd kuwa yatazuis iyo HIV kama ipo..

But before kunipa nilipima nikawa negative.

I'm stressed sijui hizi siku 28 za dose zikiisha itakuwaje.
Mawazo ya nini saa? Mnaambiwa uasherati na uzinzi ni uchafu, mnajidai wajanja.

kafakamie vidonge vya kila siku mpaka kufa kwako, tu, kubali matokeo tu na ujitangaza sana uwe fundisho kwa wengine.

Mtafute aliyekuambukiza muowane muuguzane, usiusambaze, maana mnaoukwaa huo mnawehuka.
 
Mtafute mshawishi mkapime pamoja. Unaweza kuta hata hana VVU ila watu wa mtaani wazushi.
Ila usijali pia kama ni kweli anao na yupo kwenye dose chance ya kukuambukiza ni ndogo sana.

Mwisho kabisa uache zinaa na ukome kabisa.
We jamaa muongo chance ya kuambukiza ipo pale pale.Wewe fuata tuu maelekezo ya ya Dokta zingatia vizuri hizo dozi za PEP
 
I'm stressed, issue ipo hivi juzi Christmas mida ya saa tatu usiku, Kuna mrembo aliingia room kwangu kama kawaida si mnajua ujana huu nikapiga show fresh mtoto akarudi kwako.
Sasa Jana mida ya jioni napata taarifa kuwa yule demu yupo kwenye dose ya Arv inshort she is HIV positive, nirivurugwa sana.

Leo asubuhi nimeamkia kituo Cha afya Nika waeleza scenerio nzima daktari kasema kuwa nipo within 72 of exposure kanipa madawa yanaitwa ltd kuwa yatazuis iyo HIV kama ipo..

But before kunipa nilipima nikawa negative.

I'm stressed sijui hizi siku 28 za dose zikiisha itakuwaje.
Christmas isha anza kutoa majibu yake yaani mapema sana
 
kuhakiki.
Kuhakiki nini after? Uhakiki ulitakiwa ufanyike kabla .
Wewe kula pep zako baada ya miezi 3 ndio ukajihakiki wewe mwenyewe .
Ila hapo katikati usicheze hiyo faulo manake inavyoonesha wewe Kwenye kusherehekea Mwaka mpya unaweza ukalewa tena ukatomba kavu ukawa unaendelea kujiongezea virus.
Tambua kwamba virusi vya HIV vinaweza visionekana Kwenye vipimo (window period) hadi miezi mitatu tokea.mtu apate maambukizi kutegemea na vipimo
Inawezekana wewe umeshaambukizwa HIV na binti mwingine uliyekutana naye kavu hivi karibuni kabla hujakutana hata na huyo binti unayemshuku
kuhakiki.
 
Kama anatumia ARV kwa usahihi hawezi kuwa amekuambukiza, virusi vinafubazwa sana na hiyo dawa. Na pia kwa kuwa umeanza PEP huna sababu ya kuhofu chochote. Ila jitahidi sana kuacha ngono zembe kuepuka usumbufu na hofu.
 
Back
Top Bottom