Nipo na uhitaji wa ajira ya usalama wa nchi, nina vigezo hivi

Uko sahihi mkuu Ila yawezekana pia. "Penye nia pana njia" Watu wazamani walisema baada ya kuona matokeo
 
Kwa kulitambua hilo Umeshakuwa mkuu...huyo dogo akizidi sana umri wake ni miska 23.

Ila kwenye swala la urais wa majobles humu ndani nadhani mimi ni rais mstaafu.
 
Wako wapi kina Nikifa MkeWangu Asiolewe au? Na waze3 wa hovyo wanaoukula ulanzi asubuhi asubuhi kina MENEMENE TEKERI NA PERESI


Shape ur perception

Dunia na maisha kijumla MTU huwa anatazama MTU sahihi na sio yule anayempenda.

Linapokuja swala la fursa watu huwa wanaangalia mambo mengi Sana.

Unaweza kupata fursa kupitia MTU ambaye hamna hata undugu wowote.

So it is better to be positive , destiny helpers wapo sehemu yoyote

Don't underrate the power of social networks
 
Kuhusu ELIMU nimesoma hadi shahada Ila Mimi naamini katika uwezo binafsi wa kujijenga


Pia Mimi naamini katika falsafa ya kuendelea kuwa mwanafunzi kila siku ndo njia yakuendelea kuwa bora.
ELIMU yako Bachelor Degree of Arts with Education in Political Science and Literature politics and Administration
 
Kwa kulitambua hilo Umeshakuwa mkuu...huyo dogo akizidi sana umri wake ni miska 23.

Ila kwenye swala la urais wa majobles humu ndani nadhani mimi

we need to be more realistic. Mana safari hii ngum sana, inaumiza watu mioyo na inapruni maisha ya wengine.. kwa mizaha ninayofanyaga humu siku nikisema sina hela ya kula watu watagoma kunichangia au watachanga? Who van validate my situation!?. lakin kiuhalisia kabisa, Social networks sio sehem sahihi ya kes kama hii y jamaa! Na social networks hazina uaminif wa moja kwa moja kwa wote wawili
 
"Ulipo wapo"
Wakivutiwa nawe watakufuata wenyewe, haina haja ya kujipambanua.
Uwezekano mkubwa wa wewe kuonekana ni shuleni, chuoni, kazini na kambi za jeshi.

Tabia ni asili, utapretend kuwa tofauti na ulivyo lakini mwisho wa siku uhalisia wako utaonekana.

HII INA APPLY KWA WALE WASIO NA CONNECTION TU.
 
Upo sahihi Ila wengine hatupo katika ajira rasmi kwa sasa Ila tunapenda Sana kutumia hazina zetu kuisaidia nchi hivyo muda mwingine huwa tunatumia social networks as a platform kukutana na recruiters
Kosa la kwanza ndo hilo
 
Mungu akusimamie kweli kweli mana hii haichukui hata watu 100 Tanzania nzima. Ukawange kwelikweli
 



Nimekuelewa Sana

Kila kitu ni kizuri ikiwa utakitumia in positive way
 
Mungu akusimamie kweli kweli mana hii haichukui hata watu 100 Tanzania nzima. Ukawange kwelikweli
Ni sahihi kabisa mkuu.
Hii ilikuwa inaapply sana miaka hiyo, hata kipindi cha Jakaya wamechukuliwa wengi wengi kwa style hiyo.
Mtu unaifahamu kabisa background yake, hana "Baba kanituma"
 
Umesema una uwezo wa kifanya intelijensia mbona sasa umeshindwa kujiweka huko usalama..... katafute uji wa mchele unywe ulilala na njaa nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…