Nipo naelekea mahakamani kwenda kutoa ushahidi, kipi cha kuzingatia?

Si uliandika maelezo polisi. Mwanasheria wa serekali atakukumbusha usihof...muhimu usitie chunvi ongea kile ulichokitolea maelezo polisi
 
tunaomjua zero tunacheka tuu badala ya kushauri
[emoji16][emoji16][emoji16] Ata hivyo nimeshatoka kumkaanga mchataji asiye jua mipaka ya kuchakata,
Utatakaje kuchakata mpaka watoto under 11 kweli si ni ujinga huo
 
Mahakamani hawajawahi kuyawekea mkazo maelezo ya kutoka polisi kwasababu polisi wetu wanafahamika huwa wanauliza maswali wakati huo wana majibu yao ambayo utake usitake watayaandika.
Kwamba unaulizwa kama Umeiba au hujaiba.. Na wakt huo wamekubana Makende na Praizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…