mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
tunaomjua zero tunacheka tuu badala ya kushauri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si uliandika maelezo polisi. Mwanasheria wa serekali atakukumbusha usihof...muhimu usitie chunvi ongea kile ulichokitolea maelezo polisiWanasheria na wazoefu ambao mmewahi fika mahakamani, nimepigiwa simu na mwanasheria wa Serikali niende nikatoe ushahidi.
Kuna tukio lilitokea na mimi ni mmoja kati ya walioshuhudia.
Kipi cha kuzingatia wakati wa kutoa ushahidi.
NB: Nilishatoa maelezo polisi ila leo ndio siku ya kutoa ushahidi mahakamani.
Kwamba unaulizwa kama Umeiba au hujaiba.. Na wakt huo wamekubana Makende na PraiziMahakamani hawajawahi kuyawekea mkazo maelezo ya kutoka polisi kwasababu polisi wetu wanafahamika huwa wanauliza maswali wakati huo wana majibu yao ambayo utake usitake watayaandika.
Hongera sana mkuu ubarikiwe sana,umesimamia haki ya wahitaji vyema, Mungu atakusimamia kwa kila jambo!!Tayari mkuu nimeshatoa yale niliyoyashuhudia