Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Nimeoa mwanamke msimbe wenzetu wanaita single mothers
Penzi ni tamu tu anaikatikia inavyotakiwa bila tabu kabisa 😋
Sasa changamoto imejitokeza wakubwa wangu
Huyu dada ana mtoto mmoja wa kiume mdogo tu around 7 ivi
Alinishauri tutafute kiwanja kweli buana uku na kule nikavutia waya madalali kadhaa kutafuta kijishamba bei ya kupoa km mnavyojua tena akili kichwani hawa watu wanajua kuchezea mifumo ya wanaume kufikiri lzm utembee km kobe full kuviziana😡
Basi buana siku ya siku nikapata chimbo mwanagati
Dalali akaanza milion mbili lkn nikashuka naye mpaka laki tisa
Narudi kwa baby nikampa feedback Yee akaweka boksi saba mimi nikaweka boksi mbili
Tukaafanya malipo fresh ikabki hatua ya kufuatilia hati miliki ila hapa ndio alinipandisha kisukari gafla buana
Hapo nilikuwa kwenye hatua ya kula tamu dushe likasinyaa gafla
Anashauri kiwanja kiandikwe jina la mtoto wake
Je nimfanyaje?
Kwa wale watu wa kubet watanielewa nikisema nimeanzisha familia na handcup
Je nikubali kiwanja kiandikwe jina la toto lake? Vipi usalama wangu kwa huyu dada
Ushaurini wenu wanandoaðŸ˜ðŸ˜