Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Kwa laki mbili aliyotoa tena mwanaume yeye akubali kuwa shahidi tu katika ununuzi, la sivyo amuongezee pesa mwanamke afu waandike majina yao wote......(huyo mwanamke ni mchaga)Ukiandika mtoto ina maana Baba mtoto ata husika kwa hilo leo au mbeleni, wewe utakuwa kando na hauna hoja.
Mwambie lazima Jina lako liandikwe pia, hapa hata mkizaa watoto wako watakosa neno hapo.
Akili yako inavyotaka fata basi.. Nakuona una bidii unamfaa maishani. Ila mapenzi sijui kama anayo ya kweli eeeeeh utajiju
Sasa wakishamjua kwa sura tu eti kisa mwanaume afu documoo imeandikwa jina lingine itasaidia nini? Yeye kama anapenda waishi na huyo mama,ajitafute aongezee pesa ifike nusu kwa nusu ili waandike majina yao yote kama wanunuziMm nashauri Ww kausha kwanza, ila fuatilia uhalali wa Kiwanja ili serikal mitaa ikutambue na majiran wakutambue kama wewe mwanaume ndio mmiliki wa Kiwanja.
Hizo habari za Hati kubali kuandika jina la huyo mtoto na sema unafuatilia lakin usifuatilie..
Cheza na Neutral ground for now, huko mbele utapata akili mingine
You have said it all.Hicho kiwanja ni Mali yake wewe umemchangia laki mbili tu Hela ambayo naamini anaweza kurudisha kama tutahitaji. Hakuna kitu hao watu hujali kama watoto wao yaani ukitaka Raha ya ndoa mpende mwanae na ukitaka chungu ya ndoa msimange mtoto utakipata. Sasa naona unaita toto lake hiyo ni ishara kuwa humpendi huyo mtoto hivyo ndoa imeshakushinda. Kama unataka kiwanja kiwe Kwa jina lako mrudishie Hela yake yote aliyotoa na kiwanja kitakua Mali Yako na watoto mtakao zaa lakini Kwa mazingira hayo muache shem amwandike mtoto.
Mwambie akurudishie 200,000/= yako kisha ndio aandike jina la mtoto wake. Acha kuwa mjinga.Nimeoa mwanamke msimbe wenzetu wanaita single mothers
Penzi ni tamu tu anaikatikia inavyotakiwa bila tabu kabisa π
Sasa changamoto imejitokeza wakubwa wangu
Huyu dada ana mtoto mmoja wa kiume mdogo tu around 7 ivi
Alinishauri tutafute kiwanja kweli buana uku na kule nikavutia waya madalali kadhaa kutafuta kijishamba bei ya kupoa km mnavyojua tena akili kichwani hawa watu wanajua kuchezea mifumo ya wanaume kufikiri lzm utembee km kobe full kuvizianaπ‘
Basi buana siku ya siku nikapata chimbo mwanagati
Dalali akaanza milion mbili lkn nikashuka naye mpaka laki tisa
Narudi kwa baby nikampa feedback Yee akaweka boksi saba mimi nikaweka boksi mbili
Tukaafanya malipo fresh ikabki hatua ya kufuatilia hati miliki ila hapa ndio alinipandisha kisukari gafla buana
Hapo nilikuwa kwenye hatua ya kula tamu dushe likasinyaa gafla
Anashauri kiwanja kiandikwe jina la mtoto wake
Je nimfanyaje?
Kwa wale watu wa kubet watanielewa nikisema nimeanzisha familia na handcup
Je nikubali kiwanja kiandikwe jina la toto lake? Vipi usalama wangu kwa huyu dada
Ushaurini wenu wanandoaππ