Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Hapana sio kweli Rwanda hakuna mabinti wazuri kama bongoBeauty lies in the eyes of the beholder.
Uzuri ni swala mtambuka. Kilicho dhahabu kwako kwa mwingine ni shaba.
Ok.Hapana sio kweli Rwanda hakuna mabinti wazuri kama bongo
Kinachofanyika ni kuvutia watu tu. Most of beautiful girl wako kwenye mahotel Tena sehemu za reception tu
tuache uongo, mzuri ni mzuri tu kila jicho linamwona.Beauty lies in the eyes of the beholder.
Uzuri ni swala mtambuka. Kilicho dhahabu kwako kwa mwingine ni shaba.
Hakuna mbongo anayejivunia kufika Rwanda ila Kuna wanyarwanda wanajivunia kufika TanzaniaUpo nyarugusu ndani ndani unatudanganya Rwanda, kwendraaaaaa papasi ww
Wapige picha halafu uwaangalie pichani ndiyo utajua kuwa ni wazuriNipo Kigali kikazi, hao wanawake wa kinywaranda mnaowasifia kila siku kwa uzuri huko Instagram na hapa Jamiiforums mbona siwaoni?
Huku mitaani nawaona wanawake wa kawaida sana tena hawafikii uzuri wa dada zetu wa kitanganyika.
Pumbavuuu
Nipo Kigali kikazi, hao wanawake wa kinywaranda mnaowasifia kila siku kwa uzuri huko Instagram na hapa Jamiiforums mbona siwaoni?
Huku mitaani nawaona wanawake wa kawaida sana tena hawafikii uzuri wa dada zetu wa kitanganyika.
Pumbavuuu