Nipo Rwanda, hao Wanawake mnaowasifia kwa uzuri mbona siwaoni?

Nipo Rwanda, hao Wanawake mnaowasifia kwa uzuri mbona siwaoni?

Rwanda hakuna watoto mkuu...nenda karatu ukaoshe macho ndugu yangu, unufaike na uumbaji usio na mawahaa..
Wakaratu wazuri Kwa Sura tu. Yaani ukipiga Moko tu hutaki Tena. Hila Wanyarwanda wapo sensitive (hakshi) mpk unajiona mbabe. Watamu sana na pia wanarusha maji. Wanawake wengi wanaorusha maji wako sensitive sana. Ukimshika kiuno tu amelegea.
 
I
Nipo Kigali kikazi, hao wanawake wa kinywaranda mnaowasifia kila siku kwa uzuri huko Instagram na hapa Jamiiforums mbona siwaoni?

Huku mitaani nawaona wanawake wa kawaida sana tena hawafikii uzuri wa dada zetu wa kitanganyika.
Pumbavuuu
takua upo luanda ya mbeya sio rwanda wewe
 
Kaka Uzuri Uko ndani kwa nje tunajiongopea tuu.Kutafuta mwanamke mzuri nje ya nchi ni Sawa na kuchepuka Bro.Rudi bongo kuna Vyuma hatariiiii
 
Nipo Kigali kikazi, hao wanawake wa kinywaranda mnaowasifia kila siku kwa uzuri huko Instagram na hapa Jamiiforums mbona siwaoni?

Huku mitaani nawaona wanawake wa kawaida sana tena hawafikii uzuri wa dada zetu wa kitanganyika.
Pumbavuuu
Tanzania bhana.. ina totozi kuliko Rwanda mnawapa headline tuu yani Tanzania kuna species zotee Qum#m#kee nipo the Hub arusha hapa sio poa
 
Tanzania bhana.. ina totozi kuliko Rwanda mnawapa headline tuu yani Tanzania kuna species zotee Qum#m#kee nipo the Hub arusha hapa sio poa
Duuuh nimemisije chuga 😁😁😁😁™️
 
Nipo Kigali kikazi, hao wanawake wa kinywaranda mnaowasifia kila siku kwa uzuri huko Instagram na hapa Jamiiforums mbona siwaoni?

Huku mitaani nawaona wanawake wa kawaida sana tena hawafikii uzuri wa dada zetu wa kitanganyika.
Pumbavuuu
we itakuwa ulikuwa RUBAVU HUKO RWANDA , Siyo Chigali yetu tunayoijua
 
Rwanda ni mwisho kwa toto nzuri, ni wanawake wazuri sana kimuonekano kuanzia nywele hadi kucha, tutsi nyingi zimenyooka nyie acheni masikhara basi tu tabia na roho ya visasi,,,,, hapo tu ndo kipengele
 
Nipo Kigali kikazi, hao wanawake wa kinywaranda mnaowasifia kila siku kwa uzuri huko Instagram na hapa Jamiiforums mbona siwaoni?

Huku mitaani nawaona wanawake wa kawaida sana tena hawafikii uzuri wa dada zetu wa kitanganyika.
Pumbavuuu
Mkuu hao ni watutsi ndo wengi wanakuwa warembo. Rwanda watutsi wapo wachache sana kaka.
Ulitaka kuwapata labda India kwenye mitandao ya kujiuza ndo unawakuta baadhi. Watutsi rwanda wapo wachache sana.
 
Mwanamke ni matunzo tu, mengine mbwembwe, ukija moshi na arusha siku moja utasema mbona kuna watoto wazuri kuliko singida lakini katika Tanzania nzima niliyopita watoto wa Kitanga sifa ziende kwao.

Tanga imejaliwa watoto wazuri sio siri.
 
Aaaa unauzoefu nao nini.
Ila mimi kwangu navyojua wanavaa bibaya hao.
Wewe vipi unajua tabia gani mkuu
Wapo na tabia za kawaida tuuu. Mind yu tabia ni ya mtu mmoja mmoja japo kwenye jukwaa hili utaambiwa tabia zao mbaya. Kuna ambao wanazo na ambao hawana. Nimeona sura mbili zote kwa watutsi nilioishi nao jirani
 
Back
Top Bottom