peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
MNipo Kigali kikazi, hao wanawake wa kinywaranda mnaowasifia kila siku kwa uzuri huko Instagram na hapa Jamiiforums mbona siwaoni?
Huku mitaani nawaona wanawake wa kawaida sana tena hawafikii uzuri wa dada zetu wa kitanganyika.
Pumbavuuu
Nitumie location