daah umeenda msimu wa kibaridi.. ungeweka interest zako ungepata ushauri mzuri zaidi....
MUDA HUU PITIA PALE UBUNGO/AZAM UTAFUNE KUKU WA KIENYEJI KIDOGO... AU PALE CRDB/TRA KAMA UNAPANDA KIRIMA BAR UPANDE WA KULIA UNYWE MAZIWA MOTO YA NG'OMBE wa kienyeji.... uwe makini kutembea usiku sio mji salama sana na una matukio ya ajabu na wizi... kama umefikia lodge uwe makini usiache vitu vya thamani chumbani kuna wizi mno..hii uhusisha hata zile lodge kongwe na maarufu mfn. stanley... ukilala rum usitoe funguo kwenye tundu ya mlango watu wana funguo mbilimbili...
**waweza enda singida motel kwa wastaarabu
**aqua vitae
**.kesho mchana kama utakuwa hujafunga nenda town maeneo ya sokoni/msikiti wa kati au ulizia tu kwa josiah ukapige ndizi na mshakaki kaanga.... msosi mzuri ulizia singapore au safina restaurant(snacks)