Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ijapokua ni kamji kadogo lakini Usiondoke bila kufika KBH {Kantala Beach Hotel.
Nipo Singida leo.
Ni hilo tu usichukie,kama kuna mwenyeji naomba ajitokeze japo niufahamu mji wa Wanyaturu.
Mkuu Makame Inaonekana ni mwenyeji sana maeneo hayo kweli wazenji mnajua kuyatafuta maisha.
daah umeenda msimu wa kibaridi.. ungeweka interest zako ungepata ushauri mzuri zaidi....
MUDA HUU PITIA PALE UBUNGO/AZAM UTAFUNE KUKU WA KIENYEJI KIDOGO... AU PALE CRDB/TRA KAMA UNAPANDA KIRIMA BAR UPANDE WA KULIA UNYWE MAZIWA MOTO YA NG'OMBE wa kienyeji.... uwe makini kutembea usiku sio mji salama sana na una matukio ya ajabu na wizi... kama umefikia lodge uwe makini usiache vitu vya thamani chumbani kuna wizi mno..hii uhusisha hata zile lodge kongwe na maarufu mfn. stanley... ukilala rum usitoe funguo kwenye tundu ya mlango watu wana funguo mbilimbili...
**waweza enda singida motel kwa wastaarabu
**aqua vitae
**.kesho mchana kama utakuwa hujafunga nenda town maeneo ya sokoni/msikiti wa kati au ulizia tu kwa josiah ukapige ndizi na mshakaki kaanga.... msosi mzuri ulizia singapore au safina restaurant(snacks)
chondechonde usivamie wanawake wa huko... DONT ASK ME WHY.... BUT I INSIST DO NOT UNDERESTIMATE THE POWER OF TURU GIRLS... WAAACHE KAMA WALIVYO
VANMEDY tumefanyeje wenzio?
Atahamia moja kwa moja huko.. hatariii
"Singida hakuna kwaheri**"
Haaaaaaaaaaaah kawaida tu
Haya fanya umuelekeze maeneo ya kujidai huko... sijui kama ata koti analo... tena wewe usikute tunajuana wewe ahahahaaa
amucha uriii !!! hii ndio salamu yetu wanyaturu