Nipo single, haya ni Matumizi yangu ya wiki moja - nipe ushauri

[emoji16] [emoji16] [emoji16]

Smart guy
 
Ushauri Mzuri huu
 
Mkuu hebu tupe uzoefu wako wa bajeti na hiyo family upoje kuna kitu tunaweza jifunza pia from you
 
Hahaaa, kama naliona geto lako lilivyojaa misumari na unga, safi sanaa [emoji3]
 
Nilivyoiona hiyo sadaka .. nimehisi unaimani kubwa kubwa, Naona nikuache na ulivyojipangia hayo mengine, Mungu anakuwezesha sana
Sadaka kwa wiki au alimaanisha kwa mwezi
 
Sadaka hiyo kwa mwezi ni 75000×4=300000 laki tatu kwa mwezi unatoa sadaka bhasi huyo mchungaji wenu nampa hongera kwa kuwa na misukulee inayomjali yeye kuliko kujijali yenyewee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Huwezi kula nyama robo ukatoa sadaka 75000 mamaeee kadanganye mafalaa wengineee
 
Akii, nikimskia hivo, sitoi tena sadaka!
😂hujawahi sikia interview yake EFM ? duuh Anthony Lusekelo keshawachana muda sana mnaompelekea pesa mkisema ni sadaka kwa bwana sijui anazifikishaga nani huko kwa bwana? mengine nimetia chumvi ila alitukana waumini maskini ni wapumbavu tena akarudia mara mbili baada ya mtangazaji kushangaa kilichotamkwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…