Nipo single, haya ni Matumizi yangu ya wiki moja - nipe ushauri

Nipo single, haya ni Matumizi yangu ya wiki moja - nipe ushauri

Hajui watoto wa kihuni tunaishije, hapo utakuta kanunua set ya vyombo vyote adi vijiko.

Picha linaanza muhuni anasufuria, bakuli na sahani moja, kupika inatangulia mboga linafata dongo paka haruki! Ukikosea mfumo.utapata tabu ya kuosha upya sufuria.
[emoji16] [emoji16] [emoji16]

Smart guy
 
mzee punguza vitu visivyo na msing kisha save money
hapo kwenye sadaka navojuaga ni utoe kile ulicho nacho. na inaonekana
wew ni muumin wa manabii wa zama hizi. sio mbaya
we cha kufanya uwe una beba pesa ya kukutoha usafiri mpaka church na kurudi na buku la sadaka pesa ingine iache home. kaza moyo ndugu .
ile chenji ya sadaka anzisha hata kamradi kadogo yani uwe unaingiza pesa sasa au vp
kamradi kanaweza kuwa ka buku teni au chini au juu kidogo ili mradi baada ya kutumia pesa nyingine ziwe zinaigia au vp jmaa
Ushauri Mzuri huu
 
Aisee watu mna maisha safi yasiyo na taabu.
Mimi nilifanikiwa kuongeza uumbaji wa Mungu kwa kiasi cha wastani nina watoto 5,mke 1,tuna Dada wa kazi 1 so jumla tupo 8,watoto 4 wapo medium schools.
Bahati nzuri naishi kwenye kibanda changu /sipangi.
Mshahara ni 1.5M.
So nikiona hiyo bajeti yako nacheka means leo nikikupa familia kwa muda siku tatu nitakuta umeitoroka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23]
Mkuu hebu tupe uzoefu wako wa bajeti na hiyo family upoje kuna kitu tunaweza jifunza pia from you
 
Hayo matumizi mbona yapo juu sana mkuu, unataka ununue vitu vyote kama unaishi na demu babu.

Deile nunua visamaki vya buku vile au misumari (dagaa), nyanya. Monthly nunua kitunguu, mafuta na unga wa ugali tu. Hivyo ndio masela tunavyoishi!

Sasa we unataka ununue hadi hoho,binzari, letuce,gilgilani magetoni!? Utakwama tu!!!
Hahaaa, kama naliona geto lako lilivyojaa misumari na unga, safi sanaa [emoji3]
 
Nilivyoiona hiyo sadaka .. nimehisi unaimani kubwa kubwa, Naona nikuache na ulivyojipangia hayo mengine, Mungu anakuwezesha sana
Sadaka kwa wiki au alimaanisha kwa mwezi
 
Sadaka hiyo kwa mwezi ni 75000×4=300000 laki tatu kwa mwezi unatoa sadaka bhasi huyo mchungaji wenu nampa hongera kwa kuwa na misukulee inayomjali yeye kuliko kujijali yenyewee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Huwezi kula nyama robo ukatoa sadaka 75000 mamaeee kadanganye mafalaa wengineee
 
Akii, nikimskia hivo, sitoi tena sadaka!
😂hujawahi sikia interview yake EFM ? duuh Anthony Lusekelo keshawachana muda sana mnaompelekea pesa mkisema ni sadaka kwa bwana sijui anazifikishaga nani huko kwa bwana? mengine nimetia chumvi ila alitukana waumini maskini ni wapumbavu tena akarudia mara mbili baada ya mtangazaji kushangaa kilichotamkwa
 
Back
Top Bottom