Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Hajui watoto wa kihuni tunaishije, hapo utakuta kanunua set ya vyombo vyote adi vijiko.
Picha linaanza muhuni anasufuria, bakuli na sahani moja, kupika inatangulia mboga linafata dongo paka haruki! Ukikosea mfumo.utapata tabu ya kuosha upya sufuria.
Ushauri Mzuri huumzee punguza vitu visivyo na msing kisha save money
hapo kwenye sadaka navojuaga ni utoe kile ulicho nacho. na inaonekana
wew ni muumin wa manabii wa zama hizi. sio mbaya
we cha kufanya uwe una beba pesa ya kukutoha usafiri mpaka church na kurudi na buku la sadaka pesa ingine iache home. kaza moyo ndugu .
ile chenji ya sadaka anzisha hata kamradi kadogo yani uwe unaingiza pesa sasa au vp
kamradi kanaweza kuwa ka buku teni au chini au juu kidogo ili mradi baada ya kutumia pesa nyingine ziwe zinaigia au vp jmaa
Mkuu hebu tupe uzoefu wako wa bajeti na hiyo family upoje kuna kitu tunaweza jifunza pia from youAisee watu mna maisha safi yasiyo na taabu.
Mimi nilifanikiwa kuongeza uumbaji wa Mungu kwa kiasi cha wastani nina watoto 5,mke 1,tuna Dada wa kazi 1 so jumla tupo 8,watoto 4 wapo medium schools.
Bahati nzuri naishi kwenye kibanda changu /sipangi.
Mshahara ni 1.5M.
So nikiona hiyo bajeti yako nacheka means leo nikikupa familia kwa muda siku tatu nitakuta umeitoroka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23]
Hahaaa, kama naliona geto lako lilivyojaa misumari na unga, safi sanaa [emoji3]Hayo matumizi mbona yapo juu sana mkuu, unataka ununue vitu vyote kama unaishi na demu babu.
Deile nunua visamaki vya buku vile au misumari (dagaa), nyanya. Monthly nunua kitunguu, mafuta na unga wa ugali tu. Hivyo ndio masela tunavyoishi!
Sasa we unataka ununue hadi hoho,binzari, letuce,gilgilani magetoni!? Utakwama tu!!!
Akii, nikimskia hivo, sitoi tena sadaka!mwache tu ampelekee Mzee wa upako siku akienda kuhojiwa anasema wahumini masikini ni wapumbavu[emoji23][emoji23]
Bado nyingi sanasadaka ilikua isizidi 50000 ndugu yangu
Una kipato gani?View attachment 1122082
Kama picha inavyojionesha ndugu, wenye uzoefu na ujuzi nipeni maoni na ushauri, taie home 500
Sadaka kwa wiki au alimaanisha kwa mweziNilivyoiona hiyo sadaka .. nimehisi unaimani kubwa kubwa, Naona nikuache na ulivyojipangia hayo mengine, Mungu anakuwezesha sana
Unahitaji maombiView attachment 1122082
Kama picha inavyojionesha ndugu, wenye uzoefu na ujuzi nipeni maoni na ushauri, taie home 500
😂hujawahi sikia interview yake EFM ? duuh Anthony Lusekelo keshawachana muda sana mnaompelekea pesa mkisema ni sadaka kwa bwana sijui anazifikishaga nani huko kwa bwana? mengine nimetia chumvi ila alitukana waumini maskini ni wapumbavu tena akarudia mara mbili baada ya mtangazaji kushangaa kilichotamkwaAkii, nikimskia hivo, sitoi tena sadaka!