itakuwa umriMada ni nini hapo?
Tafadhali anza kwa kuitambulisha mada unayotaka tuijadili. Mada ni nini hapo?FaizaFoxy swala la serikali "kutaka" kumpa mwekezaji kutoka nje Mwendokasi "UDART" mi naona sio sahihi. Wangewapa vipaumbele wafanyabiashara wadogo wadogo wawekeze. Yaani iwe serikali yake ni miundombinu ila magari ya wafanyabishara mbalimbali. Serikali inakua inaobserve "Quality Assurance". Wewe unasemaje?
Uliambiwa ufanye mdahalo na Nyani Ngabu ukakimbia, hapa unatuambia nini tena ndugu, yaani umeshiba futari hapo Daresalama unaanza kutuambia utabishana na yeyote.Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe, wakati wowote.
Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Huenda ni miongoni mwa wale wanawake 72 ...bado bikraBikra yako ilitolewa lini.
Mada ni nini hapo?DP WORLD INAKADIRIWA KUTIA HASARA NCHI. NINI MAONI YAKO?
Swali limekuzidi uwezo na hivyo una sweep generally kwamba watanzania hawajui kuanzisha mada? Bila shaka huko shule ulienda kuzagamua ujingaMada ni nini hapo?
Watanzania hamuelewi hata namna ya kuanzisha mada?
Anza kwa kuainisha unachotaka tujadili na uainishe wewe upo upande upi katika hiyo mada (pros and cons).
Wanawake tumekua na changamoto ya uoga na kutojiamini ni kitu kama nature...
Kwenye masuala ya muhimu katika jamii
Mfano hapa jf mada karibia zote za muhimu zinazofundisha, zinazoishi kila siku zimeanzishwa na wanaume
Siamini kama wanawake wa humu hatuna mada za madini za kuanzisha kuleta manufaa kwa wengine.
Nini kifanyike kuondokana na changamoto hii katika jamii japo hapa nimetolea mfano kwa wanawake wa jf
Au tuache kama ilivyo liwe suala la nature na tukubaliane nalo?
Both, life have Prons & Cons to everyonePros cons?
Kwa maana unampinga au unamkubali Mtume Muhammad?