Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

FaizaFoxy chagu mada..
Mpira...
Siasa za ndani..
Biashara..
Safari za Nje Nchi yeyote..
Magari...
Kodi kubwa za Magari zinavyofifisha Uchumi wetu..
Mfumo mbovu wa kuandaa ajira kwa vijana Tanzania..
Chagua chochote hapo mimi nipo hapa kwenye hii debate...
Binafsi nipo tayari kujadili yote hayo, lianzishe. Mradi usiyachanganye yote kwa pamoja. Kila post iwe na mada yake.
 
Natamani tujadili namna ya mwanadada kufika climax kirahisi...
Kama mwanamke hafikii climax kwa muda unaokubalika kikawaida, kuna uwezakano wa kuwa na mojawapo au zaidi ya matatizo mengi.

Binafsi naamini kama hujajiweka kwa kujitayarisha kwenye "sexuality" kisaikolojia ni tatizo kubwa.

Lakini kuna mengi sana; usafi, mlo, afya, matayarisho, lakini muhimu zaidi ni kujitambuwa na saikolojia.
 
Pumbavu. Huna cha kufanya. Una matatizo ya akili. Nenda katibiwe. Pumbavu sana. Pumbavu. Wewe ni mpumbavu kati ya wapumbavu wote duniani wanaowaza mambo ya kipumbavu. No wonder hua na ugomvi na kila mtu, kwaio umekalisha kinembeh huko umeboeka ukaona uje utafute ugomvi. Mzee wako atakua hakukazi vizuri ndio mana unakuja kutafuta ugomvi wa lazima humu. [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji867]
Mada ni nini hapo?
 
Back
Top Bottom