Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tubanjuane uwanja wa Taifa, siku ya Simba na YangaKama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote.
Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Bora samaki analiwa ingekuwa samaki nchanga ningesikitika.Soma kichwa cha habari au una akili za samaki?
Hao habari yao imekwesha,zaidi mitutu ndio inazingua.Kwanini CCM mmeamua kukata majina ya wagombea wa chadema.
Mnaogopa Nini? Kwanini CCM hamjiamini mnapoona vidume vya chadema?
Nakumbuka Kuna siku wanawake wa chadema walikua na mkutano pale Kibamba CCM mikwenda pale na silaha za Moto.
Kwa Nini CCM inaihara chadema? Tarehe 23/9 uliona nguvu iliyotumika. The question is why, kwanini hamjiamini?
Unaona hata yule mzigua aliyehamia kwenu anavyo jiuma umma mbele ya vijana wa kiume?
Hakuna CCM mwenye uwezo wa kukata jina la mtu aliekidhi vigezo.Kwanini CCM mmeamua kukata majina ya wagombea wa chadema.
Mnaogopa Nini? Kwanini CCM hamjiamini mnapoona vidume vya chadema?
Nakumbuka Kuna siku wanawake wa chadema walikua na mkutano pale Kibamba CCM mikwenda pale na silaha za Moto.
Kwa Nini CCM inaihara chadema? Tarehe 23/9 uliona nguvu iliyotumika. The question is why, kwanini hamjiamini?
Unaona hata yule mzigua aliyehamia kwenu anavyo jiuma umma mbele ya vijana wa kiume?
Yesu ni Mtume wa Mwwenyezi Mungu, hasemi isipokuwa aliyotumwa na Mwenyezi Mungu, kama hukumfata yake utapotea kweli.Ni kweli kwa kupitia kwa Yesu utaingia mbinguni? Kama ni kweli ina maana wasiomwamini watapotea?
Huoni kwamba sentensi yako ya kwanza inapinga na ya pili..!!?? Hizo rafu unazozitaja kwenye sentensi ya pili, haziwezi kuingilia uliyoyataja kwenye sentensi ya kwanza?Hakuna CCM mwenye uwezo wa kukata jina la mtu aliekidhi vigezo.
Kumbuka tu, siasa ni mchezo mchafu. Kuna kila aina ya rafu.
Ulikuwepo wakati yanawekwa na yesu na watu hao unawafahaamu?Yesu ni Mtume wa Mwwenyezi Mungu, hasemi isipokuwa aliyotumwa na Mwenyezi Mungu, kama hukumfata yake utapotea kweli.
Tafuta biblia ya "red letter" maneno ya Yesu yamewekwa kwa wino mwekundu, hayo tu ndiyo ya Yesu. mengine yote ni porojo za watu tu.